Kipusa unaandika maji.Unazungumzia historia. Mwaka 2019 bikira imetoka anajilia tu.
Unaota wewe labda timu yenu ya wanawake ndio unayeiota.Kumbe mliwahi kupigwa 8 bila na enyimba, kumbe kitamboo mlianza kuliabishaa taifa, nyamvaf kabisaa,
Kanunue ndimu.Naona mimba changa inakusumbua. Nyie ndio Katibu wenu mkuu Makongoro alifungiwa maisha kwa kuhonga marefa mwenye mashindano ya CAF. Au ulikuwa hujazaliwa?Mara ushirikina, mara kuhonga marefa, mara kununua tim pinzani mara kubebwa na tii efu efu.....aloooo ndiyo maana records zenu ni za humu hum ndani
Kama nyie amnavyo hamuyaoni ya Zahara mnayaona ya mkubwa wenuLeo simba anapigwa tu!
Ujinga ni kwamba mapungufu ya kocha yote hamyaoni!
Mko busy na shaffii!
Wee gongowazi, mlivyo-kalia bangi mlishindwa nini kucheza na marefa ili mfunge magoal ya offiside...?!Kama kawaida yenu simba, magoli2 ya offside, yaani simba kucheza na marefa tuu hamjambo, ndiyo maana kwenye fair ground mnabugizwa ‘dala dala’ nyambafu zenu nyie!!!!!!
Tumpe muda, vp kuhusu beki mkuu! Anatufaa?Striker mi naona kumjaji kwa leo tutakuwa tunamkosea kama mmeangalia vizuri okwi hajampelekea mpira wa maana mshikaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unateseka sana, wee gongowazi!Mara ushirikina, mara kuhonga marefa, mara kununua tim pinzani mara kubebwa na tii efu efu.....aloooo ndiyo maana records zenu ni za humu hum ndani
Kabisa...Safari ya Simba kucheza na Everton imeanza rasmi.
Yaaani simba ni litimu la ovyo ovyo tuu linalo ongozwa kiujanja ujanja tuu ndiyo maana juzi kati limepapaswa 5 na wale wacheza sebene, sasa linasubiri kuchakazwa 12 bila na wamisri
Hoja yako dhaifuMikia mko wapi msiukimbie uziii, njooni tubishane kwa hojaa! Na litim lenu hilo la ovyo ovyo
Yaaani simba ni litimu la ovyo ovyo tuu linalo ongozwa kiujanja ujanja tuu ndiyo maana juzi kati limepapaswa 5 na wale wacheza sebene, sasa linasubiri kuchakazwa 12 bila na wamisri
Mara ushirikina, mara kuhonga marefa, mara kununua tim pinzani mara kubebwa na tii efu efu.....aloooo ndiyo maana records zenu ni za humu hum ndani