Wapenzi wa Simba mliotizama Mechi ya leo, mnaonaje Uwezo wa wale Wachezaji Wageni?
Simba ndiyo kawaida yao kuuziwa mbuzi kwenye guniaWote hamna kitu.
Yule striker hajapiga hata shoot off target
Yule beki mzito sana anageuzwa tu kama mkokoteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ndiyo kawaida yao kuuziwa mbuzi kwenye gunia
Yule hamna kitu pale, hukuangalia mpira,? Alikata pumzi mapema tu, akawa anatembea uwanjani kama SalambayaStriker mi naona kumjaji kwa leo tutakuwa tunamkosea kama mmeangalia vizuri okwi hajampelekea mpira wa maana mshikaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kweli haya?Jamaa wamekata rufaa wanataka ushindi wa mezani...wale wachezaji wawili tuliowapa majaribio wana utata
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£
MmhSimba wajitahidi, maana hizi aibu zimezidi.
Hongereni sana. ππ
Hongereni sana. ππ
πππ na tukikutana lazima mumtafute mchawi sababu mtakachokitarajia sicho mtakachokutana nacho.Naona tabia za kujitoa kwenye mashindano tuliyopo inaendelea...
Tutakutana tu.
πππ na tukikutana lazima mumtafute mchawi sababu mtakachokitarajia sicho mtakachokutana nacho.
Tuombe uzima Insha Allah tupate kuiona hiyo siku.Labda arudi Kakolanya, ila kwa Kindoki tunarudisha magoli tuliyofungwa Congo.
Tuombe uzima Insha Allah tupate kuiona hiyo siku.
Ni Kweli Ila wameshindwa! hivyo safari ya Simba kutwaa million 70 na kucheza na Everton itaendelea kama kawaida. Simba nguvu moja
Nami nimeona kwenye habariNi Kweli Ila wameshindwa! hivyo safari ya Simba kutwaa million 70 na kucheza na Everton itaendelea kama kawaida. Simba nguvu moja
Awap[emoji3][emoji3][emoji3] na tukikutana lazima mumtafute mchawi sababu mtakachokitarajia sicho mtakachokutana nacho.
barua imetoka tff wanasema jamaa wana leseni.. hivyo leopard wamesepa marefu