SportPesa huo uhuni mnaofanya waachieni kampuni ndogondogo

Joined
May 11, 2016
Posts
75
Reaction score
149
Sportpesa mnatutumia meseji mkitumbia kuwa tukialika marafiki tunapata Bonus.
Tumewasikiliza na kualika marafiki lakini hamtoi hata shilingi kumi,pili nikibet nikaona nimefanya kosa kabla ya muda kuanza nashangaa siwezi tena kufuta bet,tatu customer support yenu imekuwa mbovu sana kwenye social media, badilikeni hizo ni tabia ya kampuni ndogo ndogo sio kama nyie
 
Mjomba jiunge 1XBET au bet365, kampuni ya kimataifa yenye odds mlima na option kama peponi vile? Hao jamaa hamna kitu kabisa. Kampuni zipo nyingi sana. Tusiongee mengi tukawaharibia wateja wao bure. Kama ww upo kwenye industry ya betting huwezi ukajiunga na kampuni ina option zakishamba za karne ya 16. Huko ni kutupa shilingi chooni.
 

Jamaa hizo kampuni za bet365 sio za UK? Shilingi ina transact vipi na wao ?
 
Bet za 365 na zingine utakuwa unatumia currency ipi?
 
Jamaa hizo kampuni za bet365 sio za UK? Shilingi ina transact vipi na wao ?
Mwanangu endelea na M bet na Sport pesa. ukishakua mbobevu kwenye betting utajua tu Kuna kampuni zipo kufilisi raia na nyingine zipo kukufanya na ww upate hata hela ya Toyota Paso.
 
1xbet wakala wao bongo ni mhuni,nimeweka hela zaidi ya mara mbili sikuwahi kuiona kwny acc,hlf hela ikipotea hamna sehemu yoyote ile ya kulalamika
 
Premier bet ndo mpango mzima, ukijiunga tu una 20,000 tshs za bure kabla ujaweka zako, wametisha sana hawa jamaa,
hiyo elfu 20,000 unaitumia vipi premier bet maana nilishajaribu lkn naambiwa sina salio
 
Mkuu, nikijisajili bet365 naongeza vipi salio?
 
sportpesa siku hizi wamebadilisha mfumo ukimuunga rafiki bonus haingii papo kwa papo inaweza ikachukua siku hata nne ndio bonus yako inaingia i
 
Mimi nataka kuwa Wakala wa Premier Bet kwa wilayani, Mwenye information Tusaidiane
 
SportPess hawana ubabashiaji ndugu yangu, sidhani kama kuna kampuni ya michezo hii inayoingiza pesa papo kwa hapo na yenye huduma bora kwa wateja kama hawa jamaa, mim huwa nawapigia nikiwa na shda kulalamika huk hakusov ki2
 
Kunauzi wa kubet upo juu kwenye jukwaa la michezo. Ukitaka kujifanya ingia humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…