Kwani mashindano ndo yameisha au ni utabiri wakoJe ina maana kimpira Kenya wametuzidi?
Ikiwa wametuzidi kimpira wa miguu sisi tunawashinda jambo gan Wakenya?
Team za Kenya zimeonesha kujawa na ushindani na kuwa na nia hasa ya Ushindi.
Asilimia 80 zinaonesha Fainal inamalizika Kenya wakitoa Mshindi kwa Mara ya pili mfululizo.
Tunachowazidi ni kuwa idadi ya wanaume wanaopigwa na wake zao huku kwetu ni ndogo kuliko kwaoJe ina maana kimpira Kenya wametuzidi?
Ikiwa wametuzidi kimpira wa miguu sisi tunawashinda jambo gan Wakenya?
Team za Kenya zimeonesha kujawa na ushindani na kuwa na nia hasa ya Ushindi.
Asilimia 80 zinaonesha Fainal inamalizika Kenya wakitoa Mshindi kwa Mara ya pili mfululizo.
Nimeona Mechi ya Simba, kwa kweli kwa mpira ule hatutoboi hata kidogo
VP?? Tukupe lift kwenda Goodson park??Nimeona Mechi ya Simba, kwa kweli kwa mpira ule hatutoboi hata kidogo
Ongezea kununua Mechi..!Ukweli mchungu, simba na yanga huwa zinachukua ubingwa si kwa uwezo bali kwa kubebwa sasa matokeo yake ndyo km hya!!