GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Je ina maana kimpira Kenya wametuzidi?
Ikiwa wametuzidi kimpira wa miguu sisi tunawashinda jambo gan Wakenya?
Team za Kenya zimeonesha kujawa na ushindani na kuwa na nia hasa ya Ushindi.
Asilimia 80 zinaonesha Fainal inamalizika Kenya wakitoa Mshindi kwa Mara ya pili mfululizo.