Sportpesa kujitoa kudhamini Clubs?

Sportpesa kujitoa kudhamini Clubs?

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Kwema wakuu?

Hii inahusu Kenya tu?
Haita athiri na hapa Tanzania?

IMG-20190810-WA0043.jpg
 
Ilikuwa siku nyingi walipopandishiwa kodi ya mapato. Mazungumzo yalifanikiwa huko Kenya wakaondoa tishio la kutodhamini mpira.Halihusu Tanzania.
 
Back
Top Bottom