Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Sesten uliona game yenyewe lakini?
Niliangalia kuanzia kipindi cha pili Hajar, japo tulizidiwa kutokana na kuchezesha kikosi cha pili mwisho wa siku historia inamkumbuka yule aliyeibuka kidedea na wala sio aliecheza vizuri
 
Hahahaa. Nilijaribu nikashindwa Aiseeeee.

Nikajikuta niko Kenya. [emoji85]
Hahahaaaa, bora umesema ukweli wako, ila tuweke masihara pembeni timu zetu za Simba na Yanga zimeonyesha kiwango cha kusikitisha sana, labda leo Singida wanaweza kututoa kimasomaso
 
Hahahaaa. Nawapendea hapo tu wana Simba yaani mnaanza utetezi mapema ili likibuma basi mseme tulishasema lol.

Hata nyie mabingwa kiwango chenu kiko chini. Hata siamini. Kwa nini sasa?
 
Kile kikosi cha pili kile Hajar, tungeshusha full mziki pasingekalika pale Kenya
 
Hahahaaaa. Lol.

Nimecheka kwa sauti lol. Ushusheni basi game ijayo Kenya ipate kusimama. [emoji12]
Haiwezekani tushushe kikosi kamili kwa hao Kakamega Boys au kama hao sijui Kariabangi, haohao tuliopeleka wanawatosha
 
Hahahaaa. Tumewaachieni nyie mtutoe kimasomaso. Teh
Sisi ni International Hajar, toka enzi ukiuliza Tz nani wa kimataifa utaelekezwa Msimbazi, wengine wamedandia treni kwa mbele sasa kila wakitia mguu kimataifa wanachezea kichapo! Hadi waombe poo na warudi kwenye nafasi yao ya kua msindikizaji
 
Hahaaaa. Kimataifa ipi unasemea Sesten mbona mlishindwa kuutafuna mfupa wa Almasry mkaishia kurudi mchangani?
 
Tulirudi sio kwa aibu lakini maana hatukupoteza mechi na Waarabu tunakubaliana mpira wanaujua sio kina Rayon mliopangiwa nao mnawashindwa hivihivi
 
Hahahaa. Lol.

Sasa Ukimataifa uko wapi kama mnachagua na timu. Hivyo unakubali nyie hamuujui mpira? [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…