Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kama kawaida yetu tunapeperusha vyema bendera ya nchiSesten Zakazaka, Ghazwat, aminas, King Ngwaba Mshuza2, barafuyamoto, 3llyEmma , OKW BOBAN SUNZU kila la kheri kwenu Watani zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yetu tunapeperusha vyema bendera ya nchiSesten Zakazaka, Ghazwat, aminas, King Ngwaba Mshuza2, barafuyamoto, 3llyEmma , OKW BOBAN SUNZU kila la kheri kwenu Watani zangu
Nikuulize kwanza ulitushangilia au na wewe ulikua kama mashabiki wenu waliokwenda Kenya kwa jinsi walivyonuna?Njooni sasa Mpovuke jamaani Watani zangu najua mmezinduka sasa. Koh koh koh.
Sesten Zakazaka uko wapi. Hahaaaaa.
Hajar unakimbia swali hilo eeh?Hahaaaa. Mbona imegeuka Interview sasa Mkuu?
How?Simba wameliaibisha sana Taifa
Sesten uliona game yenyewe lakini?Kama kawaida yetu tunapeperusha vyema bendera ya nchi
Niliangalia kuanzia kipindi cha pili Hajar, japo tulizidiwa kutokana na kuchezesha kikosi cha pili mwisho wa siku historia inamkumbuka yule aliyeibuka kidedea na wala sio aliecheza vizuriSesten uliona game yenyewe lakini?
Hahahaa. Nilijaribu nikashindwa Aiseeeee.Nikuulize kwanza ulitushangilia au na wewe ulikua kama mashabiki wenu waliokwenda Kenya kwa jinsi walivyonuna?
Hahaaaaa. LolHajar unakimbia swali hilo eeh?
Hahahaaaa, bora umesema ukweli wako, ila tuweke masihara pembeni timu zetu za Simba na Yanga zimeonyesha kiwango cha kusikitisha sana, labda leo Singida wanaweza kututoa kimasomasoHahahaa. Nilijaribu nikashindwa Aiseeeee.
Nikajikuta niko Kenya. [emoji85]
Hahahaaa. Nawapendea hapo tu wana Simba yaani mnaanza utetezi mapema ili likibuma basi mseme tulishasema lol.Hahahaaaa, bora umesema ukweli wako, ila tuweke masihara pembeni timu zetu za Simba na Yanga zimeonyesha kiwango cha kusikitisha sana, labda leo Singida wanaweza kututoa kimasomaso
Kile kikosi cha pili kile Hajar, tungeshusha full mziki pasingekalika pale KenyaHahahaaa. Nawapendea hapo tu wana Simba yaani mnaanza utetezi mapema ili likibuma basi mseme tulishasema lol.
Hata nyie mabingwa kiwango chenu kiko chini. Hata siamini. Kwa nini sasa?
Hahahaaaa. Lol.Kile kikosi cha pili kile Hajar, tungeshusha full mziki pasingekalika pale Kenya
Haiwezekani tushushe kikosi kamili kwa hao Kakamega Boys au kama hao sijui Kariabangi, haohao tuliopeleka wanawatoshaHahahaaaa. Lol.
Nimecheka kwa sauti lol. Ushusheni basi game ijayo Kenya ipate kusimama. [emoji12]
Wacha weeee. Haya Sesten mie langu jicho kwa hiyo Semi final.Haiwezekani tushushe kikosi kamili kwa hao Kakamega Boys au kama hao sijui Kariabangi, haohao tuliopeleka wanawatosha
Nyie mmewashindwa wale watoto dah! Mmetuabisha sanaWacha weeee. Haya Sesten mie langu jicho kwa hiyo Semi final.
Ila usikimbie tena tu.
Hahahaaa. Tumewaachieni nyie mtutoe kimasomaso. TehNyie mmewashindwa wale watoto dah! Mmetuabisha sana
Sisi ni International Hajar, toka enzi ukiuliza Tz nani wa kimataifa utaelekezwa Msimbazi, wengine wamedandia treni kwa mbele sasa kila wakitia mguu kimataifa wanachezea kichapo! Hadi waombe poo na warudi kwenye nafasi yao ya kua msindikizajiHahahaaa. Tumewaachieni nyie mtutoe kimasomaso. Teh
Hahaaaa. Kimataifa ipi unasemea Sesten mbona mlishindwa kuutafuna mfupa wa Almasry mkaishia kurudi mchangani?Sisi ni International Hajar, toka enzi ukiuliza Tz nani wa kimataifa utaelekezwa Msimbazi, wengine wamedandia treni kwa mbele sasa kila wakitia mguu kimataifa wanachezea kichapo! Hadi waombe poo na warudi kwenye nafasi yao ya kua msindikizaji
Tulirudi sio kwa aibu lakini maana hatukupoteza mechi na Waarabu tunakubaliana mpira wanaujua sio kina Rayon mliopangiwa nao mnawashindwa hivihiviHahaaaa. Kimataifa ipi unasemea Sesten mbona mlishindwa kuutafuna mfupa wa Almasry mkaishia kurudi mchangani?
Hahahaa. Lol.Tulirudi sio kwa aibu lakini maana hatukupoteza mechi na Waarabu tunakubaliana mpira wanaujua sio kina Rayon mliopangiwa nao mnawashindwa hivihivi