Hahaaaa. Kabisaaaa.Kwa mpira wa leo hata timu yetu ya chuo hawafui dafu [emoji16]
Muwe Mnaweka akiba ya manenoKwani Simba wana jipya lipi? Magufuli alivyosema hamfiki popote unadhani alikosea?
Penalt shout out.
Pole sana mtani... ntakupoza na makange ya masikio na pua ya kitimotoMmh.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaaaa. Jamaani Babu hayo Makange tangia utoe ahadi unakaribia mwaka sasa. Duuh.Pole sana mtani... ntakupoza na makange ya masikio na pua ya kitimoto
Shukrani.Nasikia bila bila
Sasa si wewe mwenyewe unakosa nafasi ya kuja Bunju kuyafakamia?Hahaaaa. Jamaani Babu hayo Makange tangia utoe ahadi unakaribia mwaka sasa. Duuh.
Ahsante sana.
Ooh. Tungoje Ramadhani iishe ntayajia babu.Sasa si wewe mwenyewe unakosa nafasi ya kuja Bunju kuyafakamia?
Ewaaa... thats my girl...Ooh. Tungoje Ramadhani iishe ntayajia babu.
Sasaje! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaa. Hivi kaka ake Hajar na kile ni kipondo eti? [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Penalt shout out ndo nini? Si muwe mnatumia tu kiswahili mtaeleweka?
Hahahahah hao gonorea nao wasubili kufungasha viragoHahahaaa. Bahati tu ilikuwa kwenu leo.
Mjipange kwa Gormahia sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa Kaka.Sasaje! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]