Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
simba inasonga hatua inayofuataKwa hiyo mleta updates anadanganya?View attachment 794005
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simba inasonga hatua inayofuataKwa hiyo mleta updates anadanganya?View attachment 794005
Kale malimao sasaLeo lazoma mkia wavutishwe bangi za kariobangi. Hakuna namna lazima tuicheze mechi hiyo ili tupoteze wote maana mjini hakukaliki. Tubakishe tuu mwakilishi mmoja Tanzania ambaye ni Alizeti united
Simba wanafirxhwa, yani ina maana kukaza kote wametolewa kwa penati na hawa fisi maji.Hii sio yanga! Ni Simba.
Kwani Simba wana jipya lipi? Magufuli alivyosema hamfiki popote unadhani alikosea?Ila kiukweli simba wamecheza mpira mbovu sana, hao jamaa ni hawana uzoefu na umakini golini ndio maana wameshindwa.
Acha kufananisha Simba na vitu vya ovyo ovyosimba na yanga ni mapacha tu
leo simba nae atabebeshwa virago vyake kurudi nyumbani
hii michuano azam angekuwepo ndio ningeongea mengine hapa
Hahahaa. LolKila la kheri mnyama
Wamefika nusu fainali.Kwani Simba wana jipya lipi? Magufuli alivyosema hamfiki popote unadhani alikosea?
Kwa mpira mbovu kama huu wa leo tuendelee tu mechi zetu za mabonanza soka la ushindani Afrika hatuliwezi.
Basi hongera yenu, mtuletee kombe ili tusiseme kabisasimba inasonga hatua inayofuata
Kumbe nawe ni yebo!!Kila la heri zote Kariobangi Sharks
Timu bora hushinda hata ikicheza vibaya.Simba wanafirxhwa, yani ina maana kukaza kote wametolewa kwa penati na hawa fisi maji.
Bloodfuckx!!!
Hahaaa! easy mkuu.Nahoji uzalendo wakoHahaaaa. Mbona imegeuka Interview sasa Mkuu?
Hahahahahaha,Hahahaa. Lol
Aisee nilimaini nikijua Simba wamechomesha. Kumbe mods ndio alifanya usenge kwenye ku update kichwa cha uzi. Mwanzo aliweka 3-2 nkajua simba wamezingua kumbe ni 2-3Timu bora hushinda hata ikicheza vibaya.
udhamini timu ya shehe ile na mambo ya kamari haviendaniKwa nini azam hajaenda?
Simba nambar UNOTimu bora hushinda hata ikicheza vibaya.
Upooooooooo!! SSC foreverHahahaa. Lol