Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Leo lazoma mkia wavutishwe bangi za kariobangi. Hakuna namna lazima tuicheze mechi hiyo ili tupoteze wote maana mjini hakukaliki. Tubakishe tuu mwakilishi mmoja Tanzania ambaye ni Alizeti united
Kale malimao sasa
 
Ila kiukweli simba wamecheza mpira mbovu sana, hao jamaa ni hawana uzoefu na umakini golini ndio maana wameshindwa.
Kwani Simba wana jipya lipi? Magufuli alivyosema hamfiki popote unadhani alikosea?

Kwa mpira mbovu kama huu wa leo tuendelee tu mechi zetu za mabonanza soka la ushindani Afrika hatuliwezi.
 
Kwani Simba wana jipya lipi? Magufuli alivyosema hamfiki popote unadhani alikosea?

Kwa mpira mbovu kama huu wa leo tuendelee tu mechi zetu za mabonanza soka la ushindani Afrika hatuliwezi.
Wamefika nusu fainali.
 
Timu bora hushinda hata ikicheza vibaya.
Aisee nilimaini nikijua Simba wamechomesha. Kumbe mods ndio alifanya usenge kwenye ku update kichwa cha uzi. Mwanzo aliweka 3-2 nkajua simba wamezingua kumbe ni 2-3
 
Back
Top Bottom