Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Leo michuano ya Sportpesa inaendelea huko Nairobi baada ya timu mbili za Tanzania, Yanga na JKU kuondoshwa hapo jana.

Yanga iliyoondoshwa kwa kipigo cha mbwa koko cha goli 3-1 huku JKU ikipata kipigo cha mbwa mwizi cha 3-0 huku zote zikifungashiwa virago kurejea nyumbani.

Leo timu mbili za Tanzania zitashuka dimbani, mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC watakipiga dhidi ya K.Sharks huku Singida united wakipiga dhidi ya AFC Leopards. Mechi ni saa 9 kamili alasiri

Swali linabaki je, Simba itafanikiwa kuliokoa jahazi hili la Tanzania?

Kikosi cha simba kimetoka

18' Matokea bado ni 0-0

Kipindi cha kwanza kimemalizika, matokeo ni 0-0

Kipindi cha pili kinaanza. Simba inamtoa Mohammed Ibrahim Mo na anaingia Marcel Kaheza.

Mpira umekwisha Simba 0-0 Kariobangi Sharks. Timu zinaenda kwenye matuta ya penat

Simba inafunga penati 3 dhidi ya 2 za Kariobangi Sharks.

Fuatilia moja kwa moja hapa;

Attachments

  • simba pesa.jpg
    simba pesa.jpg
    81 KB · Views: 98
Leo lazoma mkia wavutishwe bangi za kariobangi. Hakuna namna lazima tuicheze mechi hiyo ili tupoteze wote maana mjini hakukaliki. Tubakishe tuu mwakilishi mmoja Tanzania ambaye ni Alizeti united
 
Leo lazoma mkia wavutishwe bangi za kariobangi. Hakuna namna lazima tuicheze mechi hiyo ili tupoteze wote maana mjini hakukaliki. Tubakishe tuu mwakilishi mmoja Tanzania ambaye ni Alizeti united
mzee wa makorokocho umepotea sana
 
Simba Mnatoka Kwa Kipigo Cha 3-0
Ni Utabiri Tyu
 
Simba thibitisheni kuwa nyie ni mabingwa wa VPL.

Mechi saa ngap hii?
 
TUKIFUNGWA TENA MANYANG'AU WATATUUA KULEKWENYE UZI WA MASHINDANO
 
Back
Top Bottom