Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Sisi hata tukicheza na Mwarabu hakuna mwenye uhakika na ushindi kati yetu na wao sio kama nyie mkiingia uwanjani watu wanabishana mnafungwa mangapi sikuHahahaa. Lol.
Sasa Ukimataifa uko wapi kama mnachagua na timu. Hivyo unakubali nyie hamuujui mpira? [emoji85]