SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

Hahahaaaaa. Kwa leo lazima Mwewe limpate.

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Watu tuna mzuka na makombe safari hii wakati nyie wenzetu kombe la Kagame mshaweka mpira kwapani mapemaaa baada ya kusikia tumepangwa kundi moja! Jangwani bana!
 
Updates ya Matokeo ya mtanange wa fainali kati ya Gor Mahia ya Kenya na wauza sura (simba sc) kutoka KariaKoo.

Hivi sasa ni Gor Mahia 2 - 0 Simba SC.

Kagere.
Tuyusenge.
 
Simba bila Okwi, Boko na Kwasi hamna matumaini makubwa
 
Nyau bwana ko mlitegemea kushinda, mchezo mbovu tangu mwanzo. na akikaa vibaya atatoka kwa aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…