Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mshafungwa lakini. Dk ya 05Haya wee subiria tu tuwaletee kombe naona ndio uzalendo wenu utarudi
Sa si mtazioga leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshafungwa lakini. Dk ya 05Haya wee subiria tu tuwaletee kombe naona ndio uzalendo wenu utarudi
Watu tuna mzuka na makombe safari hii wakati nyie wenzetu kombe la Kagame mshaweka mpira kwapani mapemaaa baada ya kusikia tumepangwa kundi moja! Jangwani bana!Hahahaaaaa. Kwa leo lazima Mwewe limpate.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haya sasa lol.
Kimoja tayari Duuh
Unaangalia Mpira lakini Mtani?Kila lakheri kwa simba nawaombea ushindi wa 2-0
Ndio hivyo Mkuu.Daaah
Ndio kwanza mpira umeanza subiri mambo mazuri yajaMshafungwa lakini. Dk ya 05
Sa si mtazioga leo.
Hahahaaaa. LolWatu tuna mzuka na makombe safari hii wakati nyie wenzetu kombe la Kagame mshaweka mpira kwapani mapemaaa baada ya kusikia tumepangwa kundi moja! Jangwani bana!
Sawa Baba wacha nisubirie hayo mambo mazuri.Ndio kwanza mpira umeanza subiri mambo mazuri yaja
Haswaaaaaa!!!Kwa hili hakuna na Uzalendo Kaka. Wapigwe tu ili tuheshimiane.
Tusiandikie wino wakati mate yapoSawa Baba wacha nisubirie hayo mambo mazuri.
Ila Sesten unajua kujipa moyo eee.
Jose hata wewe!?Haswaaaaaa!!!