SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

Dah! Yaleyale ya mfupa hauna ulimi Hajar......haya narekebisha tusiandikie mate wino ungalipo bibie, kaa kitako hapohapo kwenye luninga yako halafu uangalie vijana
Usijali Sesten si unajua Hajar mpenda utani nilijua fika Ulimi hauna mfupa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nipo hapa sibanduki mie.
 
Yaani yanga wameshindwa hata na Singida united?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiki kichezaji chenye rasta kwa simba kinapooza mpira sana
 
Hujajibu Swali langu lakini Sesten. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Singida nimewashangilia pia maana sina tatizo nao, lakini ingekua wamecheza wale wenye makao makuu yao Mtaa wa Twiga na Jangwani ningejishauri sana kuwashangilia
 
demigod umenistua,VPL nzima umekimbia, Sportspesa game za Yanga umejificha,hako kagoli ndio kamekufanya mbiombio kuanzisha mada
 
demigod umenistua,VPL nzima umekimbia, Sportspesa game za Yanga umejificha,hako kagoli ndio kamekufanya mbiombio kuanzisha mada
 
Hahahaaa. Haitasaidi tutawaona ni wale shabiki maandazi tu yaani mioyo yao midogo.

Kasoro Sesten naona anapambana kuitetea Simba yake. [emoji23] [emoji23]
Mpira haujaisha mpaka uishe, watu walishawahi kutangulia kufunga hadi mabao matatu na watu wakarudisha na ushindi juu, sasa hapo usijiaminishe sana na Gor Mahia yenu Hajar, bado mapema sana
 
Jwani ungesema simba ya tanzania ungepungukiwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…