Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Gor Mahia wako vzr timu imevuka makundi haijavurugwa ktk kikosi chao cha kwanza ,Simba wameivuruga timu hadi kocha ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ball control yenyewe ni mbaya na haivutii unadhani watazoeana lini?!Watasema timu mpya ,vijana hawajazoeana
Ulitaka Umanchesta na Arsenal kwenye uzi wa Simba yakhe?Shida yako ushaleta ushabiki wa Uyanga na Usimba.
Watazoeana wakiwa wanajiandaa na kagame cup [emoji3] [emoji3]Ball control yenyewe ni mbaya na haivutii unadhani watazoeana lini?!
Watazoeana wakiwa wanajiandaa na kagame cup [emoji3] [emoji3]
Unajipa moyo kwa simba hii inayocheza Leo au kunanyingine[emoji23] [emoji23]Mpira haujaisha mpaka uishe, watu walishawahi kutangulia kufunga hadi mabao matatu na watu wakarudisha na ushindi juu, sasa hapo usijiaminishe sana na Gor Mahia yenu Hajar, bado mapema sana
Mmefurahiiii...Hahahaa. Lol.
AiseeeKwa hili hakuna na Uzalendo Kaka. Wapigwe tu ili tuheshimiane.
Tumeshafungwa mamii,labda iwe 2-1.Kila lakheri kwa simba nawaombea ushindi wa 2-0
Tatizo uwanja
Mtani umefanya nijisikie aibu lol. [emoji85]Mmefurahiiii...
Ndioooo. Nimeshindwa kabisa yaani.Aiseee
Mkuu litarudi hilo,hata kakamega walianza hivyo hivyo.Haya sasa lol.
Kimoja tayari Duuh
Yanga wamesahau matatizo yao yoote
Zamu yenu leo kufurahi...ila game haijaisha..Mtani umefanya nijisikie aibu lol. [emoji85]
Kwahyo ulikuwa kila ukivumilia unapata shida ukaamua kunena mkuu lohNdioooo. Nimeshindwa kabisa yaani.