SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Ninaangalia mpira ITV muda huu, ila wanachokionesha hakiridhishi kwa kweli. Hawarudii matukio muhimu na hatujui mpira ni dakika ya ngapi wala mabao ni ngapi kwa ngapi?

ITV kuweni makini jamani. Hebu wekeni stats za mpira hapo, angalau tujue ni timu gani zinacheza, ni dakika ya ngapi na magoli ni mangapi kwa mangapi, wekeni score board hapo. Tunaofuatilia tunapata Taabu.
 
Ni shida kwa kweli!
 
ITV sio mpira tu kila tukio likiwa live wana fail 100% ...walau ukiacha AZAM anaejitahdi kwa hawa wengine ni Star Tv covarage ya mpira na live events.
 
Hans timu bado haijaungana kwakweli.
 
Katika hili Sportpesa wamechemka sana..Wangewapa hata Star TV au TBC...

Hawaoneshi dakika, hawaoneshi mfungaji anayeingia/anayetoka..Hawaoneshi hata penati zilizofungwa ama kupotezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…