Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe angalia soka dakika angalia kwenye saa yakoKatika hili Sportpesa wamechemka sana..Wangewapa hata Star TV au TBC...
Hawaoneshi dakika, hawaoneshi mfungaji anayeingia/anayetoka..Hawaoneshi hata penati zilizofungwa ama kupotezwa
Sawa......Wewe angalia soka dakika angalia kwenye saa yako
Singda 4_leopard 5 (penalties)Matokeo tafadhari.. ngapi ngapi
Mmmmh siyo bure!!!Wewe angalia soka dakika angalia kwenye saa yako
Hapa ndo ninapopataka.. maana huku kwetu umeme wamekata na hata vifurushi Azam vimeisha..Yanga na Tusker Mchezo unaanza mda si mrefu timu zote zpo uwanjani
Oky sawaHapa ndo ninapopataka.. maana huku kwetu umeme wamekata na hata vifurushi Azam vimeisha..
Mtujulishe wakuu