SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

Hii app ya sportpesa mbona hai kubaliani na line za simu za hapa nchini zinataka mpaka uwe kenya tu
 
Hii app ya sportpesa mbona hai kubaliani na line za simu za hapa nchini zinataka mpaka uwe kenya tu
Ni 4-2
638ab5fe71dfb77dde58f58bf9c83c85.jpg
 
Mkuu ulishawahi kuona wapi taarifa ya habari, matangazo au maigizo yanafanyiwa slow motion? ITV huko ndiko walikozoea, huku wameamua kubaka tu.
 
#YANGA_Vs_TUSKER FC
All goals na Highlights 4-2 (Penalts)
 
Hiyo ndio Yanga bwana,tuwasubiri kesho wa matopeni.
Natamani tukutane nao fainali tuwachape [emoji16]
we unajitoa ufahamu au unafkr mtabebwa na lefa, hiyo haipo subirin kufundishwa mpira nyie vyura fc.
 
kwani kuandika dakika pale ni shilingi ngapi?? mbona ITV wanatia aibu hivi??
 
Cha kushukuru kwamba game ziko live, lakini picha hazina ubora.
 
Hizi mechi na live ya inayojiita Superbrand unaweza sema unaangalia chandimu au ngoma ya kizaramo maana ni vumbi tu na cha ajabu mechi inachezwa jua kali la saa nane.
sport Pesa kwa ITV wamechemka na Everton sijui tutawaona humo humo kwenye kituo kinachoonesha Vumbi 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom