Ni 4-3 au 4-2 penalties mkuu?#YANGA_Vs_TUSKER FC
All goals na Highlights 4-3 (Penalts)
Ni 4-2Hii app ya sportpesa mbona hai kubaliani na line za simu za hapa nchini zinataka mpaka uwe kenya tu
App ya ku bet sio inafunguka ila ku sign up na ku bet ndio haikubaliani na codes za tzNi 4-2
we unajitoa ufahamu au unafkr mtabebwa na lefa, hiyo haipo subirin kufundishwa mpira nyie vyura fc.Hiyo ndio Yanga bwana,tuwasubiri kesho wa matopeni.
Natamani tukutane nao fainali tuwachape [emoji16]