SportPesa Super Cup: Yanga kapigwa na timu inayoshika nafasi ya tisa ligi nchini Kenya! Yaaga michuano

Tunazungumzia mchezo wa leo, yaani mwaka huu! Unatetea ujinga wakati Yanga inapoteza mchezo wa saba kati ya 14 iliyopita!
Hujajibu swali la msingi, wewe ni shabiki maandazi, Mpira hujui, kama ni ushabiki umeanza mwaka huu ambao Simba wamefanya vizuri kwenye vpl, siyo kosa lako uelewa wako mambo y'a soka unaishia Simba inapofanya vyema n'a Yanga akifanya vibaya basi.
 
Hujajibu swali la msingi, wewe ni shabiki maandazi, Mpira hujui, kama ni ushabiki umeanza mwaka huu ambao Simba wamefanya vizuri kwenye vpl, siyo kosa lako uelewa wako mambo y'a soka unaishia Simba inapofanya vyema n'a Yanga akifanya vibaya basi.
Haya basi, Yanga bingwa michuano ya SportPesa Super Cup 2018
 
tuache ushabiki! toka nianze ushabiki wa mpira sijawah ona yanga au simba mbovu kama hii yanga ya sasa, wanakimbia kimbia tu uwanjan...kama wanafukuza kuku[emoji23] [emoji23]
utakuwa bwana mdogo sana..1987 na 1988 Simba sports club ilimaliza ligi ikiponea chupu chupu kushuka daraja...1987golikipa wa Yanga marehemu Sahau Kambi aliwazawadia Simba goli kitendo kilichopelekea Minziro kumpiga vitasa...hivyo hivyo 1988 walipanga matokeo na Tukuyu stars kama sijakosea wakafungana 8-8....Yanga imemaliza ligi ya tatu na still wako CAF confederation unasema Yanga mbovu...wakati Simba Mara ya kwanza na mwisho makundi 2003...huu ni upepo na utapita tuu
 
Ndio mpira huo na siku zote una matokeo matatu acheni Povu.
 
Yanga haina defenders kabisa. Walikuwa wanafanya kile wazungu wanaita "school boys mistakes"
 
Hahahaaa. Sema wewe Mkuu.
 
Yanga wana PHOBIA na jezi za rangi nyeupe na myekundu!
 
Nilisema watakuja na historia za marehemu. Bila kujali kikosi cha Simba cha mwaka 1987, kikosi cha Yanga cha sasa 2018 ni kibovu, na kitazidi kuwa kibovu zaidi 2018/2019
 
Mtani Mshuza2 nimekununia ujue ndio nini kila nikikutag huji?

Kisa leo tumefungwa kwa mbaali nakuona Mtani. Usipite kimya kimya tia neno tu Mtani.
 
Tuliza mshono kinyau kidogo wewe(pussy) kwani hujui mpira unadunda?
 
Ilivo fungwa yanga hakuna mfungwa alietolewa jela?
 
Mtani Mshuza2 nimekununia ujue ndio nini kila nikikutag huji?

Kisa leo tumefungwa kwa mbaali nakuona Mtani. Usipite kimya kimya tia neno tu Mtani.
Usijali mtani tuko pamoja..najua mnapita kipindi kigumu..lakini kitapita..
 
Pole sana Hajar, hii timu inakuharibia swaumu yako bure[emoji3][emoji3]
Hahaaaa. Ahsante sana Mtani nshapoa.

Najikaza tu hapa sababu sina jinsi. Niko nayo sambamba iwe jua iwe mvua mpaka kieleweke.

Naona kwenu kicheko tu.
 
Hawa the so called Wakimataifa Wanashindwa Kufurukuta Hata Hapo Kwa Majirani Zetu Wa Kenya! Sasa Umataifa gani Waliokusudia Wao?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Anayetaka kuagiza Cd za Vitimbi au Vioja Mahakamani,zile anazoonekana mzee Ojwangi,Otoron'gong'o,Masakuu,na Mwala.
awasiliane na Yanga.
 
j
HII JEZI ya YANGA VPI WAKUU
 
Yanga ili ishinde inabidi wacheze wenyewe kwa wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…