Sportpesa takes care of Tanzania National Stadium

Thts the meaning of terms kwente deal la sponsorship..
 
😃😃😃😃😀😀😀😁😁😁😁😅😅😅😆😆😆
Kijana mtukutu, kumbe ulikuwa unajiita KEJOF? Kwa kuponda vya wengine haujambo. Hao Everton wamecheza kwa huo uwanja wa githeri wiki jana
 
Unalia ama??
 
Yao ama ya mabeberu wao
Fanya utafiti wako kuhusu Sportpesa, chimbuko lake, founders wa Sportpesa, wamiliki wa Sportpesa. Alafu ukimaliza uje uulize maswali kuhusu partners ambao walivutiwa na wamiliki wa Sportpesa ilipovuka boda na kuingia nchi zingine hapa Afrika na Ulaya. Acha ukejeof, kama huna data sema tutakuchangia.
 
Blah blah blah hamna cha ajabu nyie tunajua walamba viatu vya mabwana zenu tu hamna la kubadilisha
 
Blah blah blah hamna cha ajabu nyie tunajua walamba viatu vya mabwana zenu tu hamna la kubadilisha
Sawa. Ila umebadilika sana tangia uache kujiita kejeof. Zamani post na nyuzi zako zote zilikuwa kuhusu mavi, kuchamba na tigo. Hongera jombaa. Kwa kiingereza huwa wanasema 'change is like rest'. Kama umesoma tamthilia ya Francis Imbuga, 'Aminata' utanielewa.
 
Sportpesa ni ya wabulgaria, wakenya 3 tu ndio wanahisa kidogo hapo. Yule former captain ambae ndio CEO, Mke wa late mayor wa nai na the only black Kenyan bilionare wanchuki..uongo?
 
Sportpesa ni ya wabulgaria, wakenya 3 tu ndio wanahisa kidogo hapo. Yule former captain ambae ndio CEO, Mke wa late mayor wa nai na the only black Kenyan bilionare wanchuki..uongo?
From this structure what can you conclude? What % do Bulgaria has in the company? What about Kenya?
 
https://en.m.wikipedia.org/wiki/SportPesa Sportpesa is a Kenyan sports betting platform. With operations in Kenya, Tanzania, South Afrika, The Isle of Man and The U.K.
From this structure what can you conclude? What % do Bulgaria has in the company? What about Kenya? View attachment 1158747
Nice. Hawa wabulgaria na mmarekani waliuzia hisa za Sportpesa 2016, miaka miwili baada ya kampuni kuwa incorporated na wakenya nchini Kenya. Hii strategy yao ya kupata connection za kimataifa ndio ilifanya wakafanikiwa kule U.K. Makao makuu ya Sportpesa yapo Kenya, CEO Karauri ni mkenya ushuru(35% ya earnings zao) wanalipa huku huku Kenya. Pevans East Afrika ambalo ndio kampuni linaloendesha shughuli za Sportpesa ni kampuni la kikenya. Waafrika huwa hatuamini kwamba waafrika wenzetu wanaweza wakadhubutu kufanya mambo ya kueleweka na wakafanikiwa. Hiyo ndio kasumba ambayo inatafuna bara hili.
 
Sportpesa will forever remain Kentan, Bulgaria only has 28% stake in the company while Kenya has 53%.
Nahitimisha Sportpesa ni ya wakenya. Haha

Huwajui wabulgaria vizuri mkuu. Haswa kwenye biashara za makamari na casinos.
 
The guy is busy praising Bulgaria not knowing that they only have 28% shares in the company. That's the same way wameinsist M-Pesa si ya Kenya.
 
Do you know where the Headquarter is located?
Do you know the CEO of the company? Where is s/he coming from?
Are you aware that 35% of their earnings are paid as taxes to Kenyan government?
Nahitimisha Sportpesa ni ya wakenya. Haha

Huwajui wabulgaria vizuri mkuu. Haswa kwenye biashara za makamari na casinos.
 
Do you know where the Headquarter is located?
Do you know the CEO of the company? Where is s/he coming from?
Are you aware that 35% of their earnings are paid as taxes to Kenyan government?
CEO ni ex pilot na ana 7% share. Nikolov peke yake ana 63% share halafu unasema Kenyans mna ngapi?
 
CEO ni ex pilot na ana 7% share. Nikolov peke yake ana 63% share halafu unasema Kenyans mna ngapi?
You are talking out of rumours. This is the structure of Sportpesa, are you seeing that your Nikolov? What % does he have?
 
Hey, which country owns Sportpesa? I'm waiting for your answer.
CEO ni ex pilot na ana 7% share. Nikolov peke yake ana 63% share halafu unasema Kenyans mna ngapi?
 
Lol.. Kumbe jamaa alikuwa moto wa kuotea mbali. Amewa-troll sana
Naby Keita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…