https://en.m.wikipedia.org/wiki/SportPesa Sportpesa is a Kenyan sports betting platform. With operations in Kenya, Tanzania, South Afrika, The Isle of Man and The U.K. Nice. Hawa wabulgaria na mmarekani waliuzia hisa za Sportpesa 2016, miaka miwili baada ya kampuni kuwa incorporated na wakenya nchini Kenya. Hii strategy yao ya kupata connection za kimataifa ndio ilifanya wakafanikiwa kule U.K. Makao makuu ya Sportpesa yapo Kenya, CEO Karauri ni mkenya ushuru(35% ya earnings zao) wanalipa huku huku Kenya. Pevans East Afrika ambalo ndio kampuni linaloendesha shughuli za Sportpesa ni kampuni la kikenya. Waafrika huwa hatuamini kwamba waafrika wenzetu wanaweza wakadhubutu kufanya mambo ya kueleweka na wakafanikiwa. Hiyo ndio kasumba ambayo inatafuna bara hili.