Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hata kuingia kwenye app yao haiwezekan mkuuMkuu weka screenshot ya mkeka tuhakikishe kama ni kweli
DaahHata kuingia kwenye app yao haiwezekan mkuu
Ni muendelezo tu wa stori zile zile za Yanga kushindwa kwenda kuweka kambi nje ya nchi kwa sababu ya usajili wa Azizi Kii!Sasa Yanga inahusikaje wewe kutokupewa hela yako?
Nashindwa hata kuingia kwa akaunt yao toka Jana usikuTuwekee screenshot ya huo mkeka
Yanga wamekomba hela yote kama Aziza Ufunguo alivyokomba mifweza iliyopangwa kwa trip ya Uturuki.Sasa Yanga inahusikaje wewe kutokupewa hela yako?
Mwanangu hata Mimi app haifunguki.Ungeshea mkeka mkuuAsee Hawa jamaa sjui vp Jana nimewala kias tajwa hapo juu had sasa mpunga haujaingia app yao haifunguki lakn matangazo wanatuma kupitia simu kuwa tucheze
Namba zao zote wamezofunga kwangu siwapati au mkataba na yanga wamekwangua hela zote
Hii ndyo kampun nayoiamin hapa bongo
Kweli mkuu hatimaye wamenipa changuKuwa na subira
Sio kihivyo. Furaha ni kulewa na marafiki, tushtue pande zipi tutimbeNashukuru wakuu
Wamenipa changu tayari kumbe tatizo lilikuwa mtandao
Tuendelee kutumia spotpesa jamaa wanajar na wasikivu Sana
Niwatakie jioni njema
Tuwekee Screen Shot la sivyo utakuwa ni miongoni mwa waliokimbia Milembe siku za hivi karibuni.Asee Hawa jamaa sjui vp Jana nimewala kias tajwa hapo juu had sasa mpunga haujaingia app yao haifunguki lakn matangazo wanatuma kupitia simu kuwa tucheze
Namba zao zote wamezofunga kwangu siwapati au mkataba na yanga wamekwangua hela zote
Hii ndyo kampun nayoiamin hapa bongo
M bet Wana option mbovu mpaka timu waliyoidhamini pia ni mbovuMkuu cheza M bet achana na makanja nja hao