Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Asee Hawa jamaa sjui vp Jana nimewala kias tajwa hapo juu had sasa mpunga haujaingia app yao haifunguki lakn matangazo wanatuma kupitia simu kuwa tucheze
Namba zao zote wamezofunga kwangu siwapati au mkataba na yanga wamekwangua hela zote
Hii ndyo kampun nayoiamin hapa bongo
Namba zao zote wamezofunga kwangu siwapati au mkataba na yanga wamekwangua hela zote
Hii ndyo kampun nayoiamin hapa bongo