Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Yanga an arud kwa miguu naskia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaaah mkuu
Ila kiukweli hawa waarabu wanajua kufanya vyema kwao ila waswahili hatuwezi kufanya vizuri kwetu..... Mchawi wa Yanga ni Yanga mwenyewe.....tusisumbuke kumtafuta mchawi
Ukiwa unamwombe kumfunga Chelsea na mzee Wenger anakuombea umalizwe na hazard uku akijua fika thamani ya pogba na ibra sio tu pesa bali ata wakiamua wanaweza ,achana na simu za pelez mkuu kwa bilionea abra mzee Antonio anawaza kupigiwa makofi ata mechi mbili au moja kuliko kumsubilia spurs apunguzwe kasi na kigogo mmojaLeo tutamfunga Chelsea tumsaidie spurs kubeba ubingwa
Wakuu sijui tuiite neema kwa timu yetu ya u17...ila yote kheri ..Kutokana na taifa la Mali kupigwa ban na Shirikisho la soka duniani FIFA kutokana na serikali ya Taifa hilo la Mali kuinglia masuala ya kamati ya mpira wa miguu...... Mali wamepigwa stop kujihusisha na mashindano yeyote yale.
Kumbuka Mali U17 ilikuwa imefudhu baada ya kuipiga Ethiopia U17 nje ndani.... Kule bamako 2-0 na kule adis Ababa 2-1...... Baada ya hapo Mali U17 akafudhu afcon U17 Gabon 2017 kwa jumla ya goli 4-1. Kundi B ndilo kundi lililokuwa limejumuisha Mali, Tanzania, Angola na Niger.... Ila kutokana na ban hiyo ya Shirikisho la soka duniani FIFA sasa ni rasmi kuwa Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ya Ethiopia ambao walitolewa katika hatua ya mwisho kwa jumla ya goli 4-1 ndio wanaochukua nafasi ya Mali U17 katika mashindano mwezi ujao kule Gabon.
Sasa kundi B. Litakuwa hivi baada ya Mali kuondoka
- Tanzania
- Angola
- Niger
- Ethiopia.
Kutoka kwa timu ya taifa ya Mali kumepunguza kwa kiasi ugumu wa kundi hilo hii ni kutokana na namna taifa hilo la Mali lilivyo na miundombinu bora kwa soka la vijana..... Naiombea mafanikio timu yetu ya taifa ya vijana ya Serengeti boys katika kushinda michezo yake yote katika kundi hili.
#Serengeti_boys washkaji zetu [HASHTAG]#wanawezaSana[/HASHTAG].
nakumbuka leverkusen walikua na mshambuliaji hodari sana anaitwa stefan kiessling na bellarabimbali na chicharito kuna wachezaji wengine key players kama kampl, toprak, Hilbert, kramer etc hawa watu majeruhi yao yamechangia sana leverkusen kuwa hapo walipo.
Mechizo mingine kwa weekend hii
Borussia Dortmund Vs Eintracht Frankfurt
FSV Mainz 05 Vs Hertha Berlin
VfL Wolfsburg Vs FC Ingolstadt
FC Augsburg Vs FC Köln
TSG 1899 Hoffenheim Vs Borussia Mönchengladbach
RB Leipzig Vs Sport-Club Freiburg
Bayer 04 Leverkusen Vs FC Bayern München
kesho Jumapili
Werder Bremen Vs Hamburger.
Darmstadt 98 Vs FC Schalke 04
Ni kweli mkuu bora are tumepata wa kumsumbuaMkuu usitarajie makubwa kutoka kwa hawa vijana wetu. Hapo kwenye hilo kundi wakumsumbua ni Ethiopia hao wengine sio level yetu. Sisi level yetu ni Djibouti, Somalia Comoros shelisheli and alike.
Mkuu karibu uwe unapitapita tunayajenga.
bundesliga ndipo hapo inaponishangaza,bavarian anabaki kuwa ni baba wa bundesliga lakini kila mwaka mpinzani wa bayern munich anabadilika stuttgart,werder bremen,wolfsburg,monchengladbach,hamburg,schalke,mainz na sasa ni leipzig , sijui mwakani atakuja naniIla daaaaah hii timu Rb Leipzig ntapata wapi jezi yake
Bavarian tumuache alivo sijui timu zinashindwa nini mkuu ....bundesliga ndipo hapo inaponishangaza,bavarian anabaki kuwa ni baba wa bundesliga lakini kila mwaka mpinzani wa bayern munich anabadilika stuttgart,werder bremen,wolfsburg,monchengladbach,hamburg,schalke,mainz na sasa ni leipzig , sijui mwakani atakuja nani
inawezekana tatizo ni sera zao juu ya matumizi ya fedha na mgawanyo wa mapato ya haki za televisheni ,bayern itakuwa anawazidi sana.Bavarian tumuache alivo sijui timu zinashindwa nini mkuu ....
wote wapo mkuu, Bellarabi jana aliingia tokea benchi alichukua nafasi ya Brandt.nakumbuka leverkusen walikua na mshambuliaji hodari sana anaitwa stefan kiessling na bellarabi
mkuu sidhani kama utaweza kupata jezi original ya hii timu kwa sasa hasa kwa hapa tz maana ndio kwanza imepanda daraja, ila kuanzia msimu ujao nina uhakika zitasambaa sana hata mdosho hutakosa.Mkuu asante tunakupata haswa
Ila daaaaah hii timu Rb Leipzig ntapata wapi jezi yake ....naona wanionesha nia ya kukutana na wa kina barca ,Chelsea ,Madrid ,Juve n.k katika Siku zetu pendwa as jumanne na jumatano...2009 unaanzishwa wewe Rb ....2017 unashiriki uefa [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]![]()