Sports analysis 'box to box '

Lazima tukubal Tanzania Bado tunacheza mpira wa rufaa and not professional

Haiwezekani kila mwaka unafanya makosa yale yale

Ahaaaaah mkuu

Ila kiukweli hawa waarabu wanajua kufanya vyema kwao ila waswahili hatuwezi kufanya vizuri kwetu..... Mchawi wa Yanga ni Yanga mwenyewe.....tusisumbuke kumtafuta mchawi
 
Leo tutamfunga Chelsea tumsaidie spurs kubeba ubingwa
Ukiwa unamwombe kumfunga Chelsea na mzee Wenger anakuombea umalizwe na hazard uku akijua fika thamani ya pogba na ibra sio tu pesa bali ata wakiamua wanaweza ,achana na simu za pelez mkuu kwa bilionea abra mzee Antonio anawaza kupigiwa makofi ata mechi mbili au moja kuliko kumsubilia spurs apunguzwe kasi na kigogo mmoja

Anyway mechi si inachezwa Leo ?? Let's wait uone ufupi wa kile kiumbe cha Katy kikifukuzia rekodi yake binafsi
 

Mkuu usitarajie makubwa kutoka kwa hawa vijana wetu. Hapo kwenye hilo kundi wakumsumbua ni Ethiopia hao wengine sio level yetu. Sisi level yetu ni Djibouti, Somalia Comoros shelisheli and alike.
 
Reactions: Lee
mbali na chicharito kuna wachezaji wengine key players kama kampl, toprak, Hilbert, kramer etc hawa watu majeruhi yao yamechangia sana leverkusen kuwa hapo walipo.
nakumbuka leverkusen walikua na mshambuliaji hodari sana anaitwa stefan kiessling na bellarabi
 

 
Reactions: Lee
Ila daaaaah hii timu Rb Leipzig ntapata wapi jezi yake
bundesliga ndipo hapo inaponishangaza,bavarian anabaki kuwa ni baba wa bundesliga lakini kila mwaka mpinzani wa bayern munich anabadilika stuttgart,werder bremen,wolfsburg,monchengladbach,hamburg,schalke,mainz na sasa ni leipzig , sijui mwakani atakuja nani
 
Bavarian tumuache alivo sijui timu zinashindwa nini mkuu ....
 
inawezekana tatizo ni sera zao juu ya matumizi ya fedha na mgawanyo wa mapato ya haki za televisheni ,bayern itakuwa anawazidi sana.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
nakumbuka leverkusen walikua na mshambuliaji hodari sana anaitwa stefan kiessling na bellarabi
wote wapo mkuu, Bellarabi jana aliingia tokea benchi alichukua nafasi ya Brandt.
mkuu sidhani kama utaweza kupata jezi original ya hii timu kwa sasa hasa kwa hapa tz maana ndio kwanza imepanda daraja, ila kuanzia msimu ujao nina uhakika zitasambaa sana hata mdosho hutakosa.

RB Leipzig ni timu inayochukiwa kuliko timu zote ujerumani, hii inatokana na uendeshwaji wake na the way ilivoanzishwa. Rasmi ilianzishwa kama ulivosema hapo 2009 miaka miwili tu baada ya azam fc kuanzishwa, ilianzishwa na kampuni ya Red Bull.

kampuni ya red bull ilinunua leseni ya uendeshaji wa timu iliyokua ikishiriki mashindano ya ligi daraja la tano (fitth division) iliyokua inajulikana kama SSV Markranstandt, lakini mwanzo walijaribu mara kadhaa kununua timu zilizokua madaraja ya juu na kushindwa kutokana na nguvu ya mashabiki waliyonayo kwenye timu za ujerumani tofauti na ligi zingine. baada ya kupata kibali cha kuimiliki hii timu ndio wakabadili jina na kuitwa RB leipzig.

Hii timu inapatikana ujeruman mashariki katika mji wa sexony. huu mji haujawahi kuwa na timu yyte kwenye BL tokea mwaka '94 na haujawahi kuwa na timu yyte kwenye proffesional league tokea mwaka '98. kampuni ya red bull chini ya mshauri wake Franz beckenbauer ikakaa chini wakashauriana kuanzisha timu eneo hili kutokana na historia ya hili eneo katika michezo hasa mpira wa miguu. kwenye hilo eneo kuna uwanja mkubwa sana wa mpira ambao huwa unatumika hata katika michuano ya kitaifa na kimataifa na leipzig ilipoanzishwa ikaombwa kuutumia huo uwanja kama ni uwanja wao wa nyumbani lakini wamiliki wa timu wakakataa na kujenga uwanja wao red bull arena wenye uwezo wa kubeba watu 43k.

jaribu kufuatilia historia ya hawa jamaa ni nzuri ya kuvutia, lakini kwa ufupi ndio hivo na toka imeanzishwa kila mwaka imekua ikipanda daraja na msimu wa 2012-13 hawakufungwa mechi yyte (invisible) kwenye league IV hadi wanapanda daraja. Msimu ujao tutawaona uefa ikiwa ni malengo waliokua wamejiwekea kwamba ndani ya miaka 10 lazima wacheze mashindano ya ulaya.

ngoja tuende kanisani wakuu baadaye
 
pescara 0 juventus 2
laiti kama kuna uwezekano wa kumchagua mwanadamu yoyote aliyepo juventus umpeleke kwenye timu unayoipendelea basi mimi nisingelimchagua higuain, dyabala, buffon, alves, chiellini wala nisingemchagua allegri, ningelimchagua mtendaji mkuu BEPPE MAROTTA, heshima kwake kwa kuifanya juventus kuwa timu bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…