88.9FM
Naona clouds walishi kwa mazoea na kwa kumtegemea Mpambanaji Ruge mutahaba sasa naona wakifa taratibu utadhani wanaliwa na kansa. Naamini wasafi wakikaza na wakazidisha ubunifu alafu ikasambaa country wise sioni tena clouds ikitiliwa maananiMimi nilivyoona wamemchukua Edo na Ambangile nilijua mchezo umeisha.
Tanzania hii kwangu mimi hao ndio wachambuzi bora kabisa, kidogo mzee Kashasha lkn shida yake yuko vizuri sana na mpira wa ndani, ukimpeleka nje ya nchi ni mweupe.
Clouds hawana wachambuzi pale, wale ni wapiga ramli tu
Naona clouds walishi kwa mazoea na kwa kumtegemea Mpambanaji Ruge mutahaba sasa naona wakifa taratibu utadhani wanaliwa na kansa. Naamini wasafi wakikaza na wakazidisha ubunifu alafu ikasambaa country wise sioni tena clouds ikitiliwa maanani
Sport arena wapo vizuri Sana uchambuzi wao Hauna ushabiki Kama wa clouds wanakuchambulia soka mpaka Raha alafu kabla ya game walitabiri itakuwa sare George ambangile alisema game itaisha draw ya 2 kwa 2 na kweli imekuwa hivyo hata edo kumwembe alisema na yeye game inaisha draw.Kabla ya hii Derby ya Kariakoo nilikuwa nikifuatilia kwa karibu sana aina ya uchambuzi uliokuwa ukifanya Kati ya Wasafi FM na ndugu zetu waliokwisha poteana Kwenye tasnia nzima ya habari yaani Clouds FM. Sifichi nawasifu sana akina kumwembe, Hambangile na meza yenu nzima kwa ku keep usawa na ukweli uliopelekea kuona usahihi wa hii derby.
Kwaherini Clouds FM Mungu awajalie mzidi kudidimia kila siku.
Wamiliki wa wasafi ni 3 diamond, Mrs kusaga na jamaa mmoja.Clouds ni ya kusaga na Wasafi Media mmiliki ni kusaga family(majority shareholder) vile vile.
Kwa hio hamna kilichoharibika maana zote ni zake.
Wamiliki wa wasafi ni 3 diamond, Mrs kusaga na jamaa mmoja.
Asubuhi kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 5 asubuhi pia wapo kwenye sport court saa 12 na nusu jioni mpaka saa 2 usikukinarushwa muda gani, maana Nilikua nakiona asubuhi, but nowdays sioni kikirushwa kwenye wasafi TV asub
Mambo ya makampuni ya uwendeshaji wa hisa hujui kabisa alafu nimesomea masuala ya biashara by professional naona hapa nitatumia nguvu nyingi kukuelewesha alafu bahati mbaya me silipwiMajority Shareholder ni nani?
Na ukisikia neno Majority Shareholder unaelewa kitu gani labda?
Mambo ya makampuni ya uwendeshaji wa hisa hujui kabisa alafu nimesomea masuala ya biashara by professional naona hapa nitatumia nguvu nyingi kukuelewesha alafu bahati mbaya me silipwi
Founder wa wasafi media na ceo wa wasafi media ni Nani?Hahahah baada ya kuona umewekwa kwny angle imebidi ule kona chap chap.
Nenda kaulize walimu wako nini maana ya Majority Shareholder na ukitoka hapo waulize tena nini maana ya Controlling interest,then rudi hapa tu discuss.