Sports arena hongereni kwa uchambuzi wenu wa soka ulio makini

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Kabla ya hii Derby ya Kariakoo nilikuwa nikifuatilia kwa karibu sana aina ya uchambuzi uliokuwa ukifanya Kati ya Wasafi FM na ndugu zetu waliokwisha poteana Kwenye tasnia nzima ya habari yaani Clouds FM. Sifichi nawasifu sana akina kumwembe, Hambangile na meza yenu nzima kwa ku keep usawa na ukweli uliopelekea kuona usahihi wa hii derby.

Kwaherini Clouds FM Mungu awajalie mzidi kudidimia kila siku.
 
Mimi nilivyoona wamemchukua Edo na Ambangile nilijua mchezo umeisha.

Tanzania hii kwangu mimi hao ndio wachambuzi bora kabisa, kidogo mzee Kashasha lkn shida yake yuko vizuri sana na mpira wa ndani, ukimpeleka nje ya nchi ni mweupe.

Clouds hawana wachambuzi pale, wale ni wapiga ramli tu
Naona clouds walishi kwa mazoea na kwa kumtegemea Mpambanaji Ruge mutahaba sasa naona wakifa taratibu utadhani wanaliwa na kansa. Naamini wasafi wakikaza na wakazidisha ubunifu alafu ikasambaa country wise sioni tena clouds ikitiliwa maanani
 
Clouds ni ya kusaga na Wasafi Media mmiliki ni kusaga family(majority shareholder) vile vile.

Kwa hio hamna kilichoharibika maana zote ni zake.
 
Kabla ya hii Derby ya Kariakoo nilikuwa nikifuatilia kwa karibu sana aina ya uchambuzi uliokuwa ukifanya Kati ya Wasafi FM na ndugu zetu waliokwisha poteana Kwenye tasnia nzima ya habari yaani Clouds FM. Sifichi nawasifu sana akina kumwembe, Hambangile na meza yenu nzima kwa ku keep usawa na ukweli uliopelekea kuona usahihi wa hii derby.

Kwaherini Clouds FM Mungu awajalie mzidi kudidimia kila siku.
Sport arena wapo vizuri Sana uchambuzi wao Hauna ushabiki Kama wa clouds wanakuchambulia soka mpaka Raha alafu kabla ya game walitabiri itakuwa sare George ambangile alisema game itaisha draw ya 2 kwa 2 na kweli imekuwa hivyo hata edo kumwembe alisema na yeye game inaisha draw.
 
Majority Shareholder ni nani?

Na ukisikia neno Majority Shareholder unaelewa kitu gani labda?
Mambo ya makampuni ya uwendeshaji wa hisa hujui kabisa alafu nimesomea masuala ya biashara by professional naona hapa nitatumia nguvu nyingi kukuelewesha alafu bahati mbaya me silipwi
 
Kuna jamaa mmoja sijua anaitwa ahmed wa azam leo alikuwa amemwalika mzee wa kipyenha Othmani kazi huyo mtangazaji sijui aliajiriwa kwa sifa gani? anamwalika mtu alafu anakuja kuleta ubishi wa kwenye kawaha na mapenzi ya hovyo kabisa? unapomwita mtaalamu mwache afanye kazi yake ya kitaalamu. Kipindi kimeendeshwa kienyeji, clip hazijaandaliwa vizuri,, huyu anasema tuanzie hapa mwingine tuanzie pale... HOVYO KABISA
 
Mambo ya makampuni ya uwendeshaji wa hisa hujui kabisa alafu nimesomea masuala ya biashara by professional naona hapa nitatumia nguvu nyingi kukuelewesha alafu bahati mbaya me silipwi

Hahahah baada ya kuona umewekwa kwny angle imebidi ule kona chap chap.

Nenda kaulize walimu wako nini maana ya Majority Shareholder na ukitoka hapo waulize tena nini maana ya Controlling interest,then rudi hapa tu discuss.
 
Founder wa wasafi media na ceo wa wasafi media ni Nani?
 
Back
Top Bottom