Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tutajie upande wako
Kazi yake ni KudereKuna anayemuelewa Ricardo Momo? Wenzake wakizungumza yeye kazi yake ni kudakia na kuingilia mazungumzo ya wenzake.
kweli tanzania bado wababaishaji..kati ya redio tatu umesikiliza redio moja na bado umemalizia kwa kusema "redio za Tanzania hazina vipindi ni wababaishaji"..Sports Arena
Sports Headquarters wote hao sijawahi kuwasikiliza
Sport Xtra niliacha kuwafuatilia
Kiujumla radio za Tanzania hakuna vipindi vizuri vya michezo wote ni wababaishaji
Kipindi gani hapo cha michezo kinakuvutia kati ya Sports Arena ya Wasafi Fm, Sports Headquarters ya Efm na Sports Extra ya Clouds Fm. Hapa tuangalie mpangilio mzima wa kipindi, uchambuzi mzuri na mengineyo ya muhimu. Je ni kipindi gani hapo kinakuvutia zaidi karibu...
Kuna anayemuelewa Ricardo Momo? Wenzake wakizungumza yeye kazi yake ni kudakia na kuingilia mazungumzo ya wenzake.