Sports Arena, Sports Headquarters na Sports Extra

Eti nae mchambuzi hii kitu inanishangaza kila uchwao.....
Na kile kipindi chao wakaze haswa maana studio kama hayupo edo na kitenge kinapwaya balaaaa hakina maajabu kabisaaaa
Kuna anayemuelewa Ricardo Momo? Wenzake wakizungumza yeye kazi yake ni kudakia na kuingilia mazungumzo ya wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mleta mada unafahamu kuwa humu jf kuna members wengi tu tunaishi mikoani?Na unajua huku mikoani hiyo Efm na wasafi FM havisikiki?Ila nahati mbaya pia vitu vya kuiga huwa si vizr kwani nahisi hao wanaiga tu siamini kama watakuwa na jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna anayemuelewa Ricardo Momo? Wenzake wakizungumza yeye kazi yake ni kudakia na kuingilia mazungumzo ya wenzake.
Undugunization/Urafikinazation at work.
Yaani ile kupaishwa kwenye wimbo wa Yo Pe kapewa na kibarua kabisaaa. Afu inaelekea hata akina Edo, Kitenge, Mkule wanammaindi ila watafanyaje tena kwa mpambe wa bosi
 
Kwangu mm Sports Headquarters wanachoniboa ni matangazo aisee,jamaa wana matangazo mengi mpaka inaboa kuwasikiliza,to me Sports Arena is the best

Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi ya nyuma nilikuwa nafatilia sana, hisabati za michezo, ila sasa matangazo mengi afu zikibaki dakika mbili wanamaliza juu juu, nikaona hawajitambui nikawapotezea...
 
Eti nae mchambuzi hii kitu inanishangaza kila uchwao.....
Na kile kipindi chao wakaze haswa maana studio kama hayupo edo na kitenge kinapwaya balaaaa hakina maajabu kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
George Ambangile vp hakuvutii kwenye uchambuzi? Achana na huyo mtoto wa nyumbani Momo.

Ila point yako ni sahihi, sasa hivi Kitenge kaenda likizo ya xmass nchini Marekani, hivyo kipindi lazma kitapooza kiaina kwasababu hakuna anayejua kuamsha amsha kama Kitenge.
 
Nafahamu sana, wewe waachie wanaohusika watacomment tu.
 
Hakuna ki2 wote hapo.... Kuna redio kipindi nasoma mzumbe Moro nilikuwa naisikiliza saa mbili mbili hivi... Si planet,si abudi, si mumu....ila wale jamaa walinikosha....... Nilikuwa naenda saa 3 prepo kisa michezo.... Dah maisha haya...

Sasa vitu ulivyovipenda utotoni unalinganisha na vya ukubwani? Mtoto hata leo ukimwambia achague pipi au gari la thamani ya mil 200 atachagua pipi tu.. you were moth..fcking little boy !
 
Sasa vitu ulivyovipenda utotoni unalinganisha na vya ukubwani? Mtoto hata leo ukimwambia achague pipi au gari la thamani ya mil 200 atachagua pipi tu.. you were moth..fcking little boy !
Aliyekwambia nilikuwa mtoto nan...unajua nilikuwa na miaka mingapi.... Na hata hivyo sijabadili mtazamo wangu juu ya hilo....kama ww unahusika na hivyo vipindi ndo hivyo hamna kitu.... Sonofabitch...
 
Wengi ni matapeli maana wanakosa objectivity kwenye uchambuzi.

Ni rahisi sana kuwajua kuwa huyu ni Yanga au Simba. Man City, Man United, Arsenal, Chelsea nk. Wanapenda kuingiza ushabiki wao kuliko kuzingatia weledi. Huenda wanatafuta kuwafurahisha waajiri wao ambao timu zao zinajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…