Sasa kumbe unajua FIFA wanatoa hela kwa ajili ya nchi moja tu ambayo ni Tanzania.
Fifa wakija kukagua matumizi ya hela zao utawapa maelezo gani ili wakuelewa kuwa eti hela nusu umeipeleka zanzibar. Na ukumbuke fifa na Tff hawatakuwana mamlaka ya kuikagua ZFA.
Ndio maana nikasema kimichezo inabidi zanzibar ifanywe kama mkoa, ili ipate angalau mgao wa kimkoa kuliko ikose kabisa😂😂😂😂😂
Punguza Ujinga mkuu, Zanzibar wanahitajika kupewa mgao wao kutoka TFF kwa vile na wao wamo ndani ya Tanzania