Daaaa!!! Ana mwaga sumu ile mbaya!! Uzuri wake sio mnafiki ni mkweli siku zote, nadhani wanayanga wangemshukuru kwani anawafunulia kilichomo ndani ya uongozi wa timu!! Na ndio ukweli uliopo, hao viongozi waliopo ni kama sanamu tu, kuna uongozi uliopo nyuma ambao hauonekani!!!!! Tatizo la watz ni kupenda zaidu timu badala ya kuupenda mchezo!!! Wewe ulishaawahi kuona wapi, kwakuwa mwenyekiti ulishawahi kuwa kocha basi ndio uingilie kupanga timu??efm ni wambea sana, Zahera ameshatimuliwa mnamuhoji nini? kama sio umbea na uzandiki
Kwani Zahera kasema kwamba alikuwa anapagiwa timu?Daaaa!!! Ana mwaga sumu ile mbaya!! Uzuri wake sio mnafiki ni mkweli siku zote, nadhani wanayanga wangemshukuru kwani anawafunulia kilichomo ndani ya uongozi wa timu!! Na ndio ukweli uliopo, hao viongozi waliopo ni kama sanamu tu, kuna uongozi uliopo nyuma ambao hauonekani!!!!! Tatizo la watz ni kupenda zaidu timu badala ya kuupenda mchezo!!! Wewe ulishaawahi kuona wapi, kwakuwa mwenyekiti ulishawahi kuwa kocha basi ndio uingilie kupanga timu??
Wanamuaribia huyo huyo Zahera na haji kupata kazi tena TanzaniaEfm kuna yule mpuuzi maestro anaichafua sana Yanga...dawa kuwafungulia kesi ya defamation
Siosawa walitakiwa wamuhoji pia,kwani wangapi wakitimuliwa hua wanahojiwaHiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha anapimwa kwa matokeo au uchezaji wa timu yake hatuna sababu yakumwita studio hata ukimwita azungumzie yanga itakuwa Haina faida sisi hatufanyi kazi za umbeya labda ingekuwa tunafanya mahojiano ikiwa yupo ndani yanga ndio ingekuwa inamake sense".
Efm kuna yule mpuuzi maestro anaichafua sana Yanga...dawa kuwafungulia kesi ya defamation
Jana ameongea mengi sana!! Kuwa siku moja kabla ya mechi, mwenyekiti anakuja kambini, ili kuwapa moyo wachezaji, badala yake anaanza kupanga timu, na kuwapa wachezaji formation jinsi ya kucheza!!! Yeye anakaa kimya tu, akishaondoka mwenyekiti, kocha anawaambia mimi cjapanga hivyo!! Fateni yangu(formation)Kwani Zahera kasema kwamba alikuwa anapagiwa timu?
Na sio lengo lake hilo, la kutafuta timu hapa, ila anataka kuanzisha kituo cha kukuza vipaji!!Wanamuaribia huyo huyo Zahera na haji kupata kazi tena Tanzania
hawàjui namna ya kupata exclusivesHiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha anapimwa kwa matokeo au uchezaji wa timu yake hatuna sababu yakumwita studio hata ukimwita azungumzie yanga itakuwa Haina faida sisi hatufanyi kazi za umbeya labda ingekuwa tunafanya mahojiano ikiwa yupo ndani yanga ndio ingekuwa inamake sense".
Hilo sio jipya kwenye soka la TZ ni kawaida viongozi kusajili wachezaji na viongozi kupanga kikosiJana ameongea mengi sana!! Kuwa siku moja kabla ya mechi, mwenyekiti anakuja kambini, ili kuwapa moyo wachezaji, badala yake anaanza kupanga timu, na kuwapa wachezaji formation jinsi ya kucheza!!! Yeye anakaa kimya tu, akishaondoka mwenyekiti, kocha anawaambia mimi cjapanga hivyo!! Fateni yangu(formation)
Hawajui kivp?hawàjui namna ya kupata exclusives
ki hivyo wasivyo juaHawajui kivp?