Northern Eagle
Member
- Dec 9, 2018
- 66
- 52
Mkuu uwe unasalimia kaka zako humuMkuu upo kama Mimi Yan hao vijana pumba kabisa , miaka ya 2012 nikiwa advance lazima nisikilize sport extra , lakn now days ni upuuzi mtupu , Bora ufatilie news online kuliko kusikiliza hao vijana , kwanza hata tone ya utangazaji hawana....
Jeff yuko powa sana yule chalii anaelewa mpira sema alex na ndugu take mbwiga hawa ni watoa burudaniJeff Leya ndo mchambuzi bora kabisa pale Clouds Sports Extra.Achana na wale wachambuzi uchwara kina Shaffih Dauda wanaoweka unazi mbele.Jeff akiwa na Luambano Sports Extra huwa inanoga sana.
Muwe mna sikiliza Sports Headquaters, au E-sports
Siyo mna lalamika tuu, hama redio, wenzako tuko Efm sku nyingiii