Sports Extra Clouds FM Mnaanza kuharibu

Sports Extra Clouds FM Mnaanza kuharibu

Jeff Leya ndo mchambuzi bora kabisa pale Clouds Sports Extra.Achana na wale wachambuzi uchwara kina Shaffih Dauda wanaoweka unazi mbele.Jeff akiwa na Luambano Sports Extra huwa inanoga sana.
 
Mkuu upo kama Mimi Yan hao vijana pumba kabisa , miaka ya 2012 nikiwa advance lazima nisikilize sport extra , lakn now days ni upuuzi mtupu , Bora ufatilie news online kuliko kusikiliza hao vijana , kwanza hata tone ya utangazaji hawana....
Mkuu uwe unasalimia kaka zako humu
2012 advance duu
 
Jeff Leya ndo mchambuzi bora kabisa pale Clouds Sports Extra.Achana na wale wachambuzi uchwara kina Shaffih Dauda wanaoweka unazi mbele.Jeff akiwa na Luambano Sports Extra huwa inanoga sana.
Jeff yuko powa sana yule chalii anaelewa mpira sema alex na ndugu take mbwiga hawa ni watoa burudani
 
Away mbona kitambo washaaribugi..

Amna kitu pale...

Nusu saa nzima wanachambua timu mbili tu Man u na Liver
 
Back
Top Bottom