Sports extra ya Clouds rudisheni ngumu kumeza

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Habari wanamichezo!

Ndani Sports extra ya clouds fm kila ijumaa kulikua na kitu kinaitwa "NGUMU KUMEZA".

Mtangazaji wa clouds ninaye mfahamu kwa jina moja la Adamu alikua akisoma makala za ngumu kumeza zilizoandaliwa na Farhan Kihamu.

Kiukweli huyu Farhan Kihamu ni mwandishi mzuri sana wa makala na Adamu alikua anaisoma vyema na kuisimulia kwa ustadi sana "ngumu kumeza". Sijui kwanini Ngumu kumeza iliondolewa na wakaletwa wapiga kelele kama PRIVALDINHO.

Namfatilia sana Farhan Kihamu na Amri Kiemba hasa wanapokua pamoja kwenye kipindi cha michezo Clouds.

Mawingu "efu emu" ombi langu kwenu ile "Ngumu kumeza" irudisheni kila ijumaa.
 
Ngumu kumeza iliegemea upande mmoja hasahasa kwa Yanga kidogo na TFF. Sikujua kuwa mwandishi ni Farhan.

Dogo anafeli sana. Hafai kwenye taasisi zisizo egemea upande wowote, aende zake kwa Barbara na CV mkononi, huko ndiko moyo wake ulipo.
Habari wanamichezo!

Ndani Sports extra ya clouds fm kila ijumaa kulikua na kitu kinaitwa "NGUMU KUMEZA".

Mtangazaji wa clouds ninaye mfahamu kwa jina moja la Adamu alikua akisoma makala za ngumu kumeza zilizoandaliwa na Farhan Kihamu.

Kiukweli huyu Farhan Kihamu ni mwandishi mzuri sana wa makala na Adamu alikua anaisoma vyema na kuisimulia kwa ustadi sana "ngumu kumeza". Sijui kwanini Ngumu kumeza iliondolewa na wakaletwa wapiga kelele kama PRIVALDINHO.

Namfatilia sana Farhan Kihamu na Amri Kiemba hasa wanapokua pamoja kwenye kipindi cha michezo Clouds.

Mawingu "efu emu" ombi langu kwenu ile "Ngumu kumeza" irudisheni kila ijumaa.

Sent JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom