Mbona hata blue band, omo, nakula, kbc bank, equity bank ni wakenya. Mwekezaji huwa anazingatia political stability ya nchi hili apate faidaSportpesa nilijua ni wakenya lkn walipoanza kudhamini club za bongo na kujiestaablish sana bongo nkastaajabu!
Hili la everton sio dogo hata kidogo! Plz atokee wa kututoa huu ushamba....
Ni kina nani!?
Wameanzia wapi!?
Wanamlengo gani!?
Mtaji wao ni nini!?
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Ohhhh......Kwa vile Tanzania ni wageni wa mambo haya, ndio wameamua kuwaamsha. Hii yote ni biashara, na mchezo wa Gor Mahia vs Everton ni kama tangazo. Kama wanavyosema biashara matangazo.
Kampuni hii ilianza Kenya na kuendelea na kuingia nchi nyengine kama U.K(Uingereza), South Africa na sasa hivi imeingia Tanzania. Sportpesa imejizolea umaarufu nchini Kenya ukizingatia ni mojawapo ya Kampuni yenye kutengeza hela nyingi kwa siku. Inasemekana kampuni hii inatengeza faida ya Kshs.130,000,000 kwa siku ambayo ni sawa na Tshs.2.6 bilioni kwa siku.
Yah origin yake ni Kenya. Though ina shareholders from UK, Bulgaria na United States.Okay... So its Kenyan'
Umenena vema sana mkuu.Sportpesa ni kampuni kutoka Kenya ya kubashirii matokeo ya michezo(sports betting).
Kampuni hii ilianza Kenya na kuendelea na kuingia nchi nyengine kama U.K(Uingereza), South Africa na sasa hivi imeingia Tanzania. Sportpesa imejizolea umaarufu nchini Kenya ukizingatia ni mojawapo ya Kampuni yenye kutengeza hela nyingi kwa siku. Inasemekana kampuni hii inatengeza faida ya Kshs.130,000,000 kwa siku ambayo ni sawa na Tshs.2.6 bilioni kwa siku.
Kutokana na faida hii kubwa, Sportpesa wameamua kuwa wadhamini wa timu kadhaa za mpira ili kujiongezea umaarufu duniani kote.
Kampuni hii ina partnership na timu nne zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza ambazo ni Arsenal, Hull City, Everton na Southampton. Na pia ni wadhamini rasmi wa Jersey wanazovaa Everton na Hull City.
Nchini Kenya wanadhamini ligi kuu ya Kenya na pia wanawavalisha timu kama Gor Mahia, AFC Leopards na Nakuru All Stars.
Nchini Tanzania wameamua kudhamini Simba, Yanga na Singida United.
Kwa vile Tanzania ni wageni wa mambo haya, ndio wameamua kuwaamsha. Hii yote ni biashara, na mchezo wa Gor Mahia vs Everton ni kama tangazo. Kama wanavyosema biashara matangazo.
Soon mtaanza kubashiri matokeo ya michezo( mostly football) kwenye simu zenu kupitia Sportpesa Application. Sportpesa wanataka kuwa the biggest betting firm in the world.
Asante mkuu.Umenena vema sana mkuu.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
WaNi kampuni nzuri. Imekuza viwango vya ligi kuu ya mpira chini Kenya ambako ndio chimbuko lake. Na nina imani vile vile, itakuza viwango vya ligi ya Tanzania ukizingatia kwa sasa wanaidhamini Simba, Yanga na Singida United.
Pia utaweza kubashiri matokeo ya michezo kwa urahisi kupitia simu yako kwenye Sportpesa Application ambayo bila shaka wataiLaunch hivi karibuni.
Application hii inakuwezesha kuDeposit pesa kupitia M-pesa na kubashiri matokeo kulingana na odds zilizowekwa. Na iwapo ukishinda unatumiwa pesa zako instantly kwenye M-pesa yako. Kwa mfano mechi ya leo ya Gor Mahia vs Everton, ambae alibashiri matokeo na kuchagua Everton wataibuka washindi basi ni mshindi.
Kwa vile Tanzania ni watumiaji sana wa lugha ya Kiswahili, nafkiri Application hii itatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili ili wenyeji waelewe zaidi. Kenya Application hii ipo kwa lugha ya Kiingereza.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] not really.Diamond Platnumz hajatupa hela zake humo..!??
Wewe siyo mdau wa betting!!!!Ni kina nani!?
Walianzia wapi!?
Malengo yao!?
....haya maswali yanatuvuruga wabara wengi.. Tunashangaa tu matukio..
Sasa hili la Everton limekua kubwa.
Whaaat... two bilion kwa siku.Sportpesa ni kampuni kutoka Kenya ya kubashirii matokeo ya michezo(sports betting).
Kampuni hii ilianza Kenya na kuendelea na kuingia nchi nyengine kama U.K(Uingereza), South Africa na sasa hivi imeingia Tanzania. Sportpesa imejizolea umaarufu nchini Kenya ukizingatia ni mojawapo ya Kampuni yenye kutengeza hela nyingi kwa siku. Inasemekana kampuni hii inatengeza faida ya Kshs.130,000,000 kwa siku ambayo ni sawa na Tshs.2.6 bilioni kwa siku.
Kutokana na faida hii kubwa, Sportpesa wameamua kuwa wadhamini wa timu kadhaa za mpira ili kujiongezea umaarufu duniani kote.
Kampuni hii ina partnership na timu nne zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza ambazo ni Arsenal, Hull City, Everton na Southampton. Na pia ni wadhamini rasmi wa Jersey wanazovaa Everton na Hull City.
Nchini Kenya wanadhamini ligi kuu ya Kenya na pia wanawavalisha timu kama Gor Mahia, AFC Leopards na Nakuru All Stars.
Nchini Tanzania wameamua kudhamini Simba, Yanga na Singida United.
Kwa vile Tanzania ni wageni wa mambo haya, ndio wameamua kuwaamsha. Hii yote ni biashara, na mchezo wa Gor Mahia vs Everton ni kama tangazo. Kama wanavyosema biashara matangazo.
Soon mtaanza kubashiri matokeo ya michezo( mostly football) kwenye simu zenu kupitia Sportpesa Application. Sportpesa wanataka kuwa the biggest betting firm in the world.
Whaaat... two bilion kwa siku.
Umetufungulia njia mkuuuuuSportpesa ni kampuni kutoka Kenya ya kubashirii matokeo ya michezo(sports betting).