Sports Pesa ni nini?

Sports Pesa ni nini?

Ni kampuni iliyoanzia Kenya ikiwa na makao makuu Nairobi lakini wameshafungasha virago na kuingia Tanzania na UK! Wamefungasha virago kutoka Kenya baada ya Wapwa zetu kupandisha kodi maradufu kwenye michezo ya kubahatisha!!!

Hapo kabla, kodi kwenye hiyo sekta ilikuwa ni less than 20% na ikapandishwa hadi 50%. Baada ya hiyo kodi kupigiwa kelele na wadau, ikashushwa to 35%. Na kwa mujibu wa wadau, hata hiyo 35% ni above na kiwango ambacho kilipendekezwa na TRA ya Kenya lakini Uhuru na yeye anataka kupimana ubavu na Magu!!!

Baada ya kodi kupandishwa kwa kiwango kikubwa namna hiyo, SportsPesa wakaona isiwe taabu na ndipo wakaamua kufungasha virago!!!

Mtanzania Mkenya umezungumzia suala la SportsPesa kudhamini timu kadhaa za Kenya (soka na nje ya soka) ikiwa ni pamoja na KFF. You're 100% RIGHT lakini walitishia kujitoa kwenye udhamini na walifikia kutoa hadi notice kwa wanufaika though sina uhakika wamefikia wapi!!!
 
Sportpesa ni kampuni kutoka Kenya ya kubashirii matokeo ya michezo(sports betting).

Kampuni hii ilianza Kenya na kuendelea na kuingia nchi nyengine kama U.K(Uingereza), South Africa na sasa hivi imeingia Tanzania. Sportpesa imejizolea umaarufu nchini Kenya ukizingatia ni mojawapo ya Kampuni yenye kutengeza hela nyingi kwa siku. Inasemekana kampuni hii inatengeza faida ya Kshs.130,000,000 kwa siku ambayo ni sawa na Tshs.2.6 bilioni kwa siku.

Kutokana na faida hii kubwa, Sportpesa wameamua kuwa wadhamini wa timu kadhaa za mpira ili kujiongezea umaarufu duniani kote.

Kampuni hii ina partnership na timu nne zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza ambazo ni Arsenal, Hull City, Everton na Southampton. Na pia ni wadhamini rasmi wa Jersey wanazovaa Everton na Hull City.

Nchini Kenya wanadhamini ligi kuu ya Kenya na pia wanawavalisha timu kama Gor Mahia, AFC Leopards na Nakuru All Stars.

Nchini Tanzania wameamua kudhamini Simba, Yanga na Singida United.

Kwa vile Tanzania ni wageni wa mambo haya, ndio wameamua kuwaamsha. Hii yote ni biashara, na mchezo wa Gor Mahia vs Everton ni kama tangazo. Kama wanavyosema biashara matangazo.

Soon mtaanza kubashiri matokeo ya michezo( mostly football) kwenye simu zenu kupitia Sportpesa Application. Sportpesa wanataka kuwa the biggest betting firm in the world.
Asante sana mkuu .
 
kumbe huna uhakika

Post sent using JamiiForums mobile app
 
sahihi 100%
 
TRA ya Kenya ndo ipi hiyo?? Maana hiyo T inasimamia Tz.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Si kwamba sijui!!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
Na wenzako wote wanajua na ndio maana hakuna aliyeuliza kwa sababu ni rahisi kueleweka ukisema TRA ya Kenya kuliko kusema KRA!
 
Back
Top Bottom