bila TRA au service levy, du Abbas Tarimba jiandae wenzako D9 vivi hiviWhaaat... two bilion kwa siku.
Mwisho wa kufikiriFirimasoni
Bravo! I could not have explained it better...Sportpesa ni kampuni kutoka Kenya ya kubashirii .
bila TRA au service levy, du Abbas Tarimba jiandae wenzako D9 vivi hivi
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
bila TRA au service levy, du Abbas Tarimba jiandae wenzako D9 vivi hivi
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Karibu mkuu.Umetufungulia njia mkuuuuu
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Yah wako vizuri. Nina imani viwango vya mpira vitaimarika TZ.wako vizuri ndio maana wamemwaga pesa za kutosha kwenye club zetu bongo..
Sio kbc bank ni kcb bankMbona hata blue band, omo, nakula, kbc bank, equity bank ni wakenya. Mwekezaji huwa anazingatia political stability ya nchi hili apate faida
Yap ni KCB which stands for Kenya Commercial Bank.Sio kbc bank ni kcb bank
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Thank u.Bravo! I could not have explained it better...
Sportpesa ni kampuni kutoka Kenya ya kubashirii matokeo ya michezo(sports betting).
Kampuni hii ilianza Kenya na kuendelea na kuingia nchi nyengine kama U.K(Uingereza), South Africa na sasa hivi imeingia Tanzania. Sportpesa imejizolea umaarufu nchini Kenya ukizingatia ni mojawapo ya Kampuni yenye kutengeza hela nyingi kwa siku. Inasemekana kampuni hii inatengeza faida ya Kshs.130,000,000 kwa siku ambayo ni sawa na Tshs.2.6 bilioni kwa siku.
Talk about Mpesa through Vodacom Tanzania, hapa manyang'au wanaonewa wivu, wanapigwa vita na matajiri kwenye financial industry hawajapenda kabisa manyang'au kufanikiwa kuvumbua hii, ingekuwa ni mzungu mwenzao wangeweza kuwaruhusu ku operate na kuwaunganisha kwenye mifumo mingi tu ya electronic transfers, ila sababu ngozi nyeusi na maskini atafaidi naona wanawatolea nje, kuna wakati Western Union walishiriki na Mpesa, sijuwi kwanini wakasitisha, ila kudos manyang'au, hapo kwenye Mpesa mmetupiga bao la nguvu mno..Mobile money transactions kama (e.g MPESA) zilianzia Kenya na zinafanya vizuri tu.
May be na SportPesa itafanya vizuri..
Japo kuwa imeingia Tanzania kijanja janja... (Rejea mshituko/mshangao waliokuwa nao Simba na Yanga).
Hivi omo na blue band sio kampuni ya uniliver?!Mbona hata blue band, omo, nakula, kbc bank, equity bank ni wakenya. Mwekezaji huwa anazingatia political stability ya nchi hili apate faida
Hapana mkuu walianza Kenya. It is owned by Pevans East Africa Company ambayo iko Kenya, which has shareholders in Kenya, Bulgaria and United States.Sportpesa ni wa kubet walianza uingereza mtaji wao no pesa za kubet lengo lao ni kutufanya tuwe mabingwa wa kubet
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app