Sports Pesa ni nini?

Ni kampuni iliyoanzia Kenya ikiwa na makao makuu Nairobi lakini wameshafungasha virago na kuingia Tanzania na UK! Wamefungasha virago kutoka Kenya baada ya Wapwa zetu kupandisha kodi maradufu kwenye michezo ya kubahatisha!!!

Hapo kabla, kodi kwenye hiyo sekta ilikuwa ni less than 20% na ikapandishwa hadi 50%. Baada ya hiyo kodi kupigiwa kelele na wadau, ikashushwa to 35%. Na kwa mujibu wa wadau, hata hiyo 35% ni above na kiwango ambacho kilipendekezwa na TRA ya Kenya lakini Uhuru na yeye anataka kupimana ubavu na Magu!!!

Baada ya kodi kupandishwa kwa kiwango kikubwa namna hiyo, SportsPesa wakaona isiwe taabu na ndipo wakaamua kufungasha virago!!!

Mtanzania Mkenya umezungumzia suala la SportsPesa kudhamini timu kadhaa za Kenya (soka na nje ya soka) ikiwa ni pamoja na KFF. You're 100% RIGHT lakini walitishia kujitoa kwenye udhamini na walifikia kutoa hadi notice kwa wanufaika though sina uhakika wamefikia wapi!!!
 
Asante sana mkuu .
 
kumbe huna uhakika

Post sent using JamiiForums mobile app
 
sahihi 100%
 
TRA ya Kenya ndo ipi hiyo?? Maana hiyo T inasimamia Tz.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Si kwamba sijui!!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
Na wenzako wote wanajua na ndio maana hakuna aliyeuliza kwa sababu ni rahisi kueleweka ukisema TRA ya Kenya kuliko kusema KRA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…