SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Naomba kufahamu mechi ya Simba na Bandari ianchezwa saa ngapi....tukapozee machungu !
 
Inshaallah! Mnyama leo atatinga fainali kwa kishindo
 
Hii mechi kwa heshima ya mabingwa wa nchi na wawakilishi pekee wa Afrika mashariki kwenye hatuza za makundi CAF ilistahili ichezwe kuanzia saa 10 jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…