balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Eddo Kumwembe Leo kaniboa sana.Simba safiiiiiiiiiHahahaaa samba kwa sasa ni sawa na 'dada poa' a.k.a changudoa, yaani kila mwanaume mwenye dushelele anajipigia tuuu kiulainiii gharama ni kuanzia mia3. mia4, mia5 adi mia7
Na ninyi jebaada ya kubugizwa 5 mtungi na wale wacheza sebene, sasa simba ni rasmi ramvi la wageni yaani sasa ni mwendo kwa kubugizwaaaaaaa tuuu kwa kwenda mbele!
Safi sana Tanzania kwa siasa ndio Mabingwamechi imemalizika kwa mnyama kupokea kichapo cha bao 2 kwa 1 kutoka kwa timu ya bandari. ni timu ya tatu kwa tanzania kupoteza nafasi ya kunyakua kombe la sportpesa.
imebaki mbao fc ambayo ndio timu pekee inayopeperusha bendera ya tanzania katika michuano hii ya sportpesa...
nini utabiri wako kwa mbao fc vs kariobang.
HahahahaHii ndio raha na miyeyusho ya soka la bongo...leo analia huyu,mwingine anacheka..kesho tena inakua vice versa...basi maisha yanaenda..
Klabu bingwa kwa kuhonga ni Yanga wao hata mechi za Kimataifa unamkumbuka mzee Mpondela(RIP)aliwahonga marefa pale Ethiopia ila ulikuwa bado hujazaliwaleo simba walisahau kumhonga refa na yamewakutaaa
Wasalimie bukoba
Ulikua wapi siku zoteyaani timu nzima ya simba, washabiki, viongozi, wanachama ni ma-mbullu kenge kweli kweli
Nasema nikimaanisha maana naonaga kama ni upumbavu kabisa unaoendelea hapa Tanzania katika medani ya soka.
Haiwezekani eti Simba leo inacheza Klabu Bingwa Afrika alafu kesho Simba hiyo hiyo inacheza Mapinduzi Cup.
Alafu Simba hiyo hiyo inashiriki Ligi Kuu ambayo tayari kuna team zimeshacheza mechi saba zaidi yake.
Hivi hawa viongozi wa soka wa hii nchi ni machizi au wamelogwa.
Niwasalimie bukoba uliambiwa mimi ni wa bukoba? Poleni naona safari imeishia bandarini..........Wasalimie bukoba
Tutake radhi sisi mabingwa tafadhaliyaani timu nzima ya simba, washabiki, viongozi, wanachama ni ma-mbullu kenge kweli kweli
eti mna kikosi cha bilioni 2, na hali mnaposahau kuhonga au kununua mechi tuu majanga yanawakuta, sijui mtaendelea kuhonga hadi lini?Klabu bingwa kwa kuhonga ni Yanga wao hata mechi za Kimataifa unamkumbuka mzee Mpondela(RIP)aliwahonga marefa pale Ethiopia ila ulikuwa bado hujazaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi simba tukikutana na kariobang kwenye kutafuta mshindi wa tatu, Yanga mtaishangilia?
Sent using Jamii Forums mobile app