SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

SportsPesa Cup: Bandari 2 vs 1 Simba

Mkiambiwa ukweli nyie ni underdog mnakasirika.alafu Manara anawadanganya kwa mchina hatoki mtu,leo mmekufa hapo hapo kwa mchina,haya tarehe 1 feb Misri,sijui mtakula ngapi.
 
baada ya kubugizwa 5 mtungi na wale wacheza sebene, sasa simba ni rasmi ramvi la wageni yaani sasa ni mwendo kwa kubugizwaaaaaaa tuuu kwa kwenda mbele!
Na ninyi je
FB_IMG_1548297887675.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh kwa mchina hatoki mtu ,leo mmekufa hapo hapo kwa mchina,wiki ijayo siku kama ya leo Misri sijui mtakula ngapi.
 
mechi imemalizika kwa mnyama kupokea kichapo cha bao 2 kwa 1 kutoka kwa timu ya bandari. ni timu ya tatu kwa tanzania kupoteza nafasi ya kunyakua kombe la sportpesa.
imebaki mbao fc ambayo ndio timu pekee inayopeperusha bendera ya tanzania katika michuano hii ya sportpesa...
nini utabiri wako kwa mbao fc vs kariobang.
Safi sana Tanzania kwa siasa ndio Mabingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema nikimaanisha maana naonaga kama ni upumbavu kabisa unaoendelea hapa Tanzania katika medani ya soka.

Haiwezekani eti Simba leo inacheza Klabu Bingwa Afrika alafu kesho Simba hiyo hiyo inacheza Mapinduzi Cup.

Alafu Simba hiyo hiyo inashiriki Ligi Kuu ambayo tayari kuna team zimeshacheza mechi saba zaidi yake.


Hivi hawa viongozi wa soka wa hii nchi ni machizi au wamelogwa.

Huko ulaya Timu zinacheza ndani ya wiki moja mara mbili yaani jumanne au jumatano wanakipiga halafu tena jumamosi au jumapili inaingia tena uwanjani kukipiga. Ulaya kuna michuano mingi tu mfano kuna ligi kuu, kombe la ligi mfano copa Italy kwa nchini Italy na kombe la FA (emirates) kwa uingereza, n.k bado kuna michuano ya kimataifa kama ueropa league na uefa champions league na timu zinacheza zaidi ya mara moja kwa wiki pasipo shida wala kulalamika.

Je unakumbuka mara ya mwisho Simba akicheza mechi ya ligi kuu hadi sasa imeshapita wiki ngapi? Unalalama hivyo wakati Simba haijacheza mechi za ligi kuu kwa muda mrefu tu, je wangechezeshwa ligi kuu si ungelalama hadi basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klabu bingwa kwa kuhonga ni Yanga wao hata mechi za Kimataifa unamkumbuka mzee Mpondela(RIP)aliwahonga marefa pale Ethiopia ila ulikuwa bado hujazaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
eti mna kikosi cha bilioni 2, na hali mnaposahau kuhonga au kununua mechi tuu majanga yanawakuta, sijui mtaendelea kuhonga hadi lini?
 
Back
Top Bottom