Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaa. Tambo zao zilizidi Mtani. Yaani wanahesabia game na Everton huku hawajui Bandari ni habari ingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Tambo zao zilizidi Mtani. Yaani wanahesabia game na Everton huku hawajui Bandari ni habari ingine.
Kikosi kipana,kikosi cha bilioniHahahaaaa. Tambo zao zilizidi Mtani. Yaani wanahesabia game na Everton huku hawajui Bandari ni habari ingine.
Hahahaa. Eti jamaani.
Teh teh teh teh we jamaa bhana huenda uko sawa ila Manara anaweza akawa sehemu ndogo sana ya tatizo (kama ni kweli) ila shida ya Simba ni zaidi ya hapo na asilimia kubwa ni Mwalimu, benchi la ufundi na kikosi chenyewe.Kama mashabiki wa timu ya simba wangekuwa wanajua kazi na majukumu ya PR na anachofanya Manara wangekuwa wameshaandamana kumzuia asiendelee kuonekana kwenye ofisi za simba.
Jana nilizima data maan huchelewi kuharibu hali ya hewa zaidVan pebles uko wapi Mtani. Nimemisi Povu lako. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Uje bana.
Hahahaa. Eti jamaani.
Ule ni utani don't take it seriously utaugua pressure na kisukari bureHahahaaa. Labda Barca na Bayern zile za ndondo Cup. [emoji41][emoji41]
Huna tofauti na Manara, you are dancing to his tunes.Maana anaongea kama mtu aliyevurugwa then mashabiki wanamshangilia kama mazuzu wameanza kupoteana ndo wanagundua aliwadanganya kuwaambia wanakikosi kipana
Wakati kwako kunaunguaHahahaaa. Nguvu moja wanakuwa kama kinywaji tena kile cha bariiiidi yaani kila tunaposikia habari zake za jana roho zinasuuzika. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmeanza kumkataa mpiga zumari wenu? Mtaelewa zaidi pale cairo
Hahaaa. Pole sana.
Hahaaaa. Yaani leo nawakera tuu.Mtani naona unatamba sana, uwanja wote wako.
Ila mtani nyie mlitolewa mapema, kama ni shule nyie mmeishia la saba sisi tumeenda secondary.
Hahahaha, na ndipo Raha ya Utani huo ,kutanianaHahaaa. Pole sana.
Ndio utani wa jadi ulivyo ukifungwa kutaniwa lazima
Nalijua hilo Chief ndio maana hata kuandika nimeandika kimasihara. 😃😃Ule ni utani don't take it seriously utaugua pressure na kisukari bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa. Lol
Kweli kabisa Mtani.
Yaani haziaminiki kabisa. Tuzishangilie tu kwa kuwa tumezichagua.Walahi Simba na Yanga ni pipa na mfuniko wake. Huyu akiharibu kesho mwenzie yupo njiani.
AS Vita uchawi wao si wa nchi hii, Simba hajafufuka kabisa na hili zimwi la Kinshasa.
Atazinduka wa mwisho kwenye kundi, game over.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa. Yaani leo nawakera tuu.
Eti eeee hivyo wenzetu mmeishia Sec. 😃😃😃😃
Hahaaa. Ikiwa wa form 4 naye kafeli kutokana na tambo zake unaachaje kumcheka sasa. Mana mwisho wa siku tunakuwa hali moja tu.Ndo ujishangae, ulifeli la saba unamcheka aliyefeli form 4.
Hahaaa. Ikiwa wa form 4 naye kafeli kutokana na tambo zake unaachaje kumcheka sasa. Mana mwisho wa siku tunakuwa hali moja tu.
Au ndio unajipa matumaini ya mshindi wa tatu japo usishangae huyu mdudu akawaandama mpaka huko.