π€£π€£π€£ haya bana Mtani.Mpaka hapa tuna dola za kimarekani 5,000.
Nyie mmeambulia kushiriki.
π€£π€£π€£ haya bana Mtani.
Uko poa lakini?
Mi niko poa pia aisee. Haya bana siku njema.Namshukuru Mungu, uzima upo.
Hope uko powa pia.
Daah yaani kukiwa na habari mbaya ndo unanicheki SwaibaHahahaaaa. Taratiiiibu naanza kukuelewa Swahiba.
Hahahaaaa. Ila si ndio poa Swahiba.
Mi niko poa pia aisee. Haya bana siku njema.
Kama nakuona ulivyofurahi, hujambo lakini Shadeeya ?Hahahaaaa. Ila si ndio poa Swahiba.
Umemisika Swahiba. Salama?
kitanzania kiukweli...Mwinyi zahera ....angekuwa simba.na timu waliyonayo.... Simba top5 anaingiaHakuna mtu anaemtilia maanani Manara nikiwa mpenzi wa Simba namuona sio mwanaspoti kabisa kwa kauli zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss you too I'll hivi vipogo mfululizo vinafanya simu kuwa nzitoHahahaaaa. Ila si ndio poa Swahiba.
Umemisika Swahiba. Salama?
Upo kama Manara, unaongea kinazi sana, usimchekeMmeanza kumkataa mpiga zumari wenu? Mtaelewa zaidi pale cairo
Leo Manara kawakataa na litimu lenu,ulitaka usikosolewe Kisa kuwa yanga? Ushabiki wako Nadhani hutofautiani nawale mapovu yanawatoka Kisa kuitwa underdog
Pole sana Swahiba ndio Soka letu la Tanzania hilo.Miss you too I'll hivi vipogo mfululizo vinafanya simu kuwa nzito
Sent using Jamii Forums mobile app
WANAUGULIA MAUMIVU BADOHHAHAHAAAAAAAA. NA MIE NILITAKA KUSHANGAA KAKA.
HAWAZIWEZI HIZOOOOOOOO.
WAUEEEEEEEEEEE
KITI KILIKUWA CHA MOTO NAKWAMBIA SISYaani hizi ni zaidi ya njema Broo. Nimejikuta nawawazia wale mashabiki wa Mikia ile saa mpira umekwisha walivyokuwa kama wamechomelewa misumari. ππ kunyanyuka walishindwa aisee.
MTU ALISHAGEUZWA KIBLA KITAMBO SANAHehehehe!