uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Hapana kaka hii inakuwa aibu kwa nchi ni bora tuungane tutafute dawatunataka 5 hapo mpaka manara awe wa rangi ya blue
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kaka hii inakuwa aibu kwa nchi ni bora tuungane tutafute dawatunataka 5 hapo mpaka manara awe wa rangi ya blue
"Simba hadhi yake ni kucheza na Arsenal" By ManaraSasa kwa nn kocha kamtoa chama eti anamuingiza kichuya? Mwenyewe yanga ila ili kombe ilitakiwa libaki tanzania au nyie simba amtaki kucheza na evarton?
SAFI TU, SIMBA WASHAZAMISHWA 2-1 HUKO
Mkuu aibu ya kujitakia Sababu ya uzembe wa watu wachache unasema ni ya nchi.Hapana kaka hii inakuwa aibu kwa nchi ni bora tuungane tutafute dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
dawa pekee ni vumbi la congo.Hapana kaka hii inakuwa aibu kwa nchi ni bora tuungane tutafute dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
dakika ya ngapi now??Hapana kaka hii inakuwa aibu kwa nchi ni bora tuungane tutafute dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majira ndiyo leo nayaonaIt will kick at 14:00 Am
Hii sio timu ya kushindana michuano mikubwa hiki ni kituko kwa kweli.Kwakweli kwa timu hii na mpira huu, kweli tunahitaji mabadiriko makubwa sana mpaka tuwafikie hao wakina As Vita. Tunarukaruka tu, sijui wachezaji uchovu au?
Sent using Jamii Forums mobile app