dakika 4 ...khaaaa mbeleko
wazee wa bandari wanapakuliwa mizigo yao huko...
Kila kitu tunachukulia rahisi tu hatueleweki tunataka nini.Hii ni aibu kubwa kwa klabu inayoshiriki klabu bingwa.Simba tumedharau game, mechi ilikua nyeupe kabisa hii
Hahaha hata hilo la kusawazisha ni issue
Hahahaha, huwezi kujua mpira huoHahaha hata hilo la kusawazisha ni issue
hahaha piga haoo
Imeisha mda sana
Tumezingua sana, hizi sio mechi za kujaribu vikosi una dream kucheza na everton halafu unawadharau bandariKila kitu tunachukulia rahisi tu hatueleweki tunataka nini.Hii ni aibu kubwa kwa klabu inayoshiriki klabu bingwa.
Ile siku ya kuwakabidhi simba kombe lao JPM alisemaje kuhusu kiwango cha timu ya Simba??Hii sio timu ya kushindana michuano mikubwa hiki ni kituko kwa kweli.
Mkuu umeandika kwa kumaanisha au kwa Sababu Simba imetolewa? Kwanini wasitumie michuano kama hii kama njia ya kujiimarisha na kurekebisha makosa yao? Ina maana kweli mkuu huyaoni mapungufu makubwa ya hichi kikosi?Simba haya mashindano sijui mara Sposi Pesa mara Mapinduzi inabidi iwe inaiachia Yanga ishiriki sio hadhi yake.
Simba inatakiwa ipeperushe bendera ya nchi kimataifa zaidi.