SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

Hahahaaa. Ningekukosa huku Walahi ningeumwa leo Dada.

Nilikuquote sehemu nyingi ila hukutokea ndugu. Salama hukooo?
Hahahaa ulifikili quote sijaziona niliziona nakuwaje na nguvu za kurudi tena kwenye ule uzi

Salama dada akee vipi wewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmeshatia maji nywele zenu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu niache hujui kama sisi ndio tutachukua kombe
 
Hahaaaa. Kama kweli vileeee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na saa kumi ukuje. [emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitakuja nisipokuja nipigie eenh dada
 
Aah. Wapi.

Unadhani kipigo mchezo labda kama ulipita kimya kimya huku unagugumia maumivu.
Hahaha aisee unajua siku ile simu yangu ilikuwa imeisha chaji na umeme ulikuwa umekatika kama siyo hivyo ungeniona siku nzima ila pole mtani wangu kwa yaliyotokea jana usiwaze sana kufungwa ni sehemu ya mchezo tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitakuja nisipokuja nipigie eenh dada
Ewaaaa. Mie tena Dada mbona ntakutwangia. 😜😜😜
 
Hahaha aisee unajua siku ile simu yangu ilikuwa imeisha chaji na umeme ulikuwa umekatika kama siyo hivyo ungeniona siku nzima ila pole mtani wangu kwa yaliyotokea jana usiwaze sana kufungwa ni sehemu ya mchezo tu
Pole sana aisee. Nikajua moyo wako ni wa Plastick basi. πŸ™ˆπŸ™ˆ

Kabiiisaaa hapa tunaganga yajayo. Vp lakini jioni na nyie mnacheza unaniaminishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…