Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
tukutane mida kama ya janaNyiee hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tukutane mida kama ya janaNyiee hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunajua dadaNimekumiss pia Dada. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] Hiviii mnajua kwamba leo na nyie mnacheza?
Hahahaa ulifikili quote sijaziona niliziona nakuwaje na nguvu za kurudi tena kwenye ule uziHahahaaa. Ningekukosa huku Walahi ningeumwa leo Dada.
Nilikuquote sehemu nyingi ila hukutokea ndugu. Salama hukooo?
Hapo umenenatukutane mida kama ya jana
🤣🤣🤣 Mmeshatia maji nywele zenu? 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunajua dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu niache hujui kama sisi ndio tutachukua kombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmeshatia maji nywele zenu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaa ulifikili quote sijaziona niliziona nakuwaje na nguvu za kurudi tena kwenye ule uzi
Salama dada akee vipi wewe
Hahaaaa. Kama kweli vileeee. 🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu niache hujui kama sisi ndio tutachukua kombe
Hamna bwana mi nilikuwepo sana tu ila wewe ndio sikukuona kabisaYaani Mtani wangu unaibukaga saa ya matukio tu.
Mechi na Vila sikukuona humu. 😜😜
Kwani mwaka 47 kulitokea nini mtani?Hahahaaa. Ayeni tu.
Ikifika zamu yenu hamkawii kuleta mambo za mwaka 47.
Aah. Wapi.Hamna bwana mi nilikuwepo sana tu ila wewe ndio sikukuona kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitakuja nisipokuja nipigie eenh dadaHahaaaa. Kama kweli vileeee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na saa kumi ukuje. [emoji126][emoji126][emoji126]
Hahaha aisee unajua siku ile simu yangu ilikuwa imeisha chaji na umeme ulikuwa umekatika kama siyo hivyo ungeniona siku nzima ila pole mtani wangu kwa yaliyotokea jana usiwaze sana kufungwa ni sehemu ya mchezo tuAah. Wapi.
Unadhani kipigo mchezo labda kama ulipita kimya kimya huku unagugumia maumivu.
Ewaaaa. Mie tena Dada mbona ntakutwangia. 😜😜😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nitakuja nisipokuja nipigie eenh dada
Pole sana aisee. Nikajua moyo wako ni wa Plastick basi. 🙈🙈Hahaha aisee unajua siku ile simu yangu ilikuwa imeisha chaji na umeme ulikuwa umekatika kama siyo hivyo ungeniona siku nzima ila pole mtani wangu kwa yaliyotokea jana usiwaze sana kufungwa ni sehemu ya mchezo tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ewaaaa. Mie tena Dada mbona ntakutwangia. [emoji12][emoji12][emoji12]
Mabondia na wacheza karate mpo?Pole sana aisee. Nikajua moyo wako ni wa Plastick basi. [emoji85][emoji85]
Kabiiisaaa hapa tunaganga yajayo. Vp lakini jioni na nyie mnacheza unaniaminishaje?
🤣🤣🤣 Hebu ukooo. Mbona hata nyie mlimfanyia vibaya yule Dr wa Nkana kule Zambia.Mabondia na wacheza karate mpo?